Video: Mke kabambwa anachepuka

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,227
113,583
Teh teh teh....ona anavyojiliza....hahahahaaa.

Ila kwa jinsi haya mambo yalivyo...usikute naye anayo michepuko yake lakini hajabambwa tu.

Last edited by a moderator:
True esp. Afro Americans they cheat a lot. Kibaya zaidi anatumia Nigger but when they are called the same name by other races, straight to court oh tunadhalilishwa. Shame.
 
shat the faki apu,you einti sayini nasing yu niga....endi yu say hi wozi yua frendi.....niga...(kwa lafudhi ya kiblaki amerika).mweee!!.:smash:
 
Sijapenda udhalilishaji wa hivyo, ukifumania unatakiwa kufanya mambo mawili makuu, kwanza kabisa ni kusamehe kimya kimya ili kutunza heshma yako na ya mwenzio, pili ni kuvunja ndoa basi kwa namna ambayo utatunza heshima yako kwa jamii, hayo mambo aliyoyafanya huyo jamaa ni udhaifu wa kufa mtu.
 
Dahhhh kwa nini amesimama tu hapo .
Si angetoka hata nje . Aibu yote hiyo
Ya nini ? Jamaa kasha sema anawmwacha
Sielewi ni sababu gani anasimama tu hapo
Kulilia hovyo na kudhalilishwa. At least
Ajifungie chooni lol :)
 
Na hii tumeisababisha sisi wanaume, unamtoa binti wa watu bikira, yeye anaamini kabisa wewe ndio mwenza wake wa maisha, utamuoa na mpaka kifo kiwatenganishe... kwa jinsi ulivyomuonyesha king'ang'anizi mpaka akavua pichu...Halafu una mtosa....anakufuma una date/ kuoa mtu mwingine...Unadhani akija mwanaume mwingine ataaminika kweli? hata umpe nini huyo dada anajua tu ipo siku utamtosa tu, it is matter of time....kwahiyo akitokea charming boy mwingine anapewa tu a long as anavigezo vinavyolipa...bcoz there ain't nuthn to lose....Men tumelikoroga wenyewe...
 
Sijapenda udhalilishaji wa hivyo, ukifumania unatakiwa kufanya mambo mawili makuu, kwanza kabisa ni kusamehe kimya kimya ili kutunza heshma yako na ya mwenzio, pili ni kuvunja ndoa basi kwa namna ambayo utatunza heshima yako kwa jamii, hayo mambo aliyoyafanya huyo jamaa ni udhaifu wa kufa mtu.

Si udhalilishajj hayo hayabudi kutokea wakati mwingine ili mpate kuyajadili kama hivi na kujifunza Maana dunia hii kujifunza hakuishi
 
Kwa tabia hii lazima mke aende nje. Mtu akicheat si unampotezea tu mnaachana kimya kimya, sioni sababu ya kuaibishana online.
 
Sijapenda udhalilishaji wa hivyo, ukifumania unatakiwa kufanya mambo mawili makuu, kwanza kabisa ni kusamehe kimya kimya ili kutunza heshma yako na ya mwenzio, pili ni kuvunja ndoa basi kwa namna ambayo utatunza heshima yako kwa jamii, hayo mambo aliyoyafanya huyo jamaa ni udhaifu wa kufa mtu.

Kabisa kabisa!
 
kabisa mkuu,, jamaa hajui na yeye anadhalilika.....hakuna haja ya kufanya hivyo, kimya kimya tuu.....shiiiiit.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom