Utajisikiaje ukisikia baba yako ametumbuliwa majipu na Dkt. Magufuli??

Son of Gamba

JF-Expert Member
Oct 26, 2012
4,358
6,077
Rais wetu Dk. Magufuli amekuja na kazi mpya ya kutumbua "majipu". Tumeshuhudia baadhi ya watendaji wenye majipu wameanza kutumbuliwa na Dk. Magufuli. Hapa nina swali la kizushi tu, hivi utajisikiaje kama mmoja wa wanaotumbuliwa majipu ni baba yako? Au ndugu yako, mume wako, mjomba, au hata rafiki yako?

Ki ukweli kama ni majipu basi watendaji wengi sana wanayo na wengi sana watatumbuliwa. Tuache utani, kutumbuliwa jipu sio mchezo, jamani.
 
Mpaka sasa majibu yameoshwa tu hakuna hata moja lililotumbuliwa.Tunataka kujua kama baada ya kuoshwa nesi atayatumbua.
 
Kama hana kosa shaka hamna .
Kama jipu lina usaa wacha litumbuliwe
Au autumbue mwenyewe .
 
Back
Top Bottom