Mchango wako ndg "Reseach tittle"

Mkawo

Member
May 26, 2012
61
60
Mchango wako ndg, napata shida kidogo juu ya chaguzi sahihi ya reseach tittle ambayo itanipa mwanga ama uwanja mpana wa kufunguka naomba kushare na wewe, kifup nafanya field TRA nahitaj reseach tittle itakayo uwiana na mambo ya finance na accounts.
Asante kwa ushirikiano!
 
Mkuu fikilia tu. Au pitia vitabu vyako vyote na uhakika utapata idea nzuri..
 
Prons and cons of tax exemption in tanzania.me pia wkt nasoma nilifanya field tra.
 
Mkuu kweli miaka yako yote ya masomo huna title??

Kutafuta title ni kuzuri ila kuna changamoto kadhaa lazima zitaathiri kazi zako.

Title ukishapata utajuaje kama inafanyika au haifanyiki ndani ya muda na resources ulizonazo??

Je utajuaje kuwa haijawahi kufanyiwa kazi?? Au unafanya ilimradi umalize shule.

Nakushauri ufikirie swala ambalo unaliona hiko field au hata masomoni unaona linakupa hamasa kulitafiti.
 
Kabla ujajua title ya research yako lazima uwe na topic ya research yako unayotaka kufanya, itakuwa easy kwa sisi kukupa title
 
....wewe umekaa huko chuoni miaka yote, umefanya mitihani yote ukiwa peke yako, leo hii umekaribia mwisho unaomba usaidiwe research tittle?!
Kwa nini usijihangaishe kidogo akili kumalizia kazi ndogo uliyobakiza?
Amua sasa, unaweza!
 
Huu ndio uzembe ambao hua sipendi kuuona kwenye internet. Watu kupost vitu wakitegemea kurahisishiwa maisha completely huku wanastarehe. Serious kabisa unataka upewe research title?

Hehehe Magufuli ana kazi kubwa coz wasomi kama huyu wamejaa sana Tanzania. Kujishughulisha doesn't mean uende kwenye internet upewe research title ufunguefungue some pages uungeunge umemaliza, you have to use your head, hii ni elimu sio kurukaruka tu.
 
Aliyekwambia title unaambiwa ni nani? Soma ndugu acha kujidhalilisha
 
Naweza kukupa mbinu hii:
Lazima ujue interest yako ni ipi...kisha utengeneze wazo lako,kwa ku google research titles mbalimbali na itaweza kukusaidia
 
Mchango wako ndg, napata shida kidogo juu ya chaguzi sahihi ya reseach tittle ambayo itanipa mwanga ama uwanja mpana wa kufunguka naomba kushare na wewe, kifup nafanya field TRA nahitaj reseach tittle itakayo uwiana na mambo ya finance na accounts.
Asante kwa ushirikiano!

Kwanza ni vizuri tujue wewe ni nani-kwa mfano unachukua qualification gani? Una muda gani wa kufanya research? Unaandika paper(s) au monograph? Ingekuwa vizuri kueleza wewe ungetaka kufanya nini (your broad area or topic of interest) na hapo ungepata michango itakayokusaidia uje na research topic ya kuanzia ambayo you can refine as you go on. Sio vizuri kuomba tu research topic. Anzisha hata kama ina matatizo utapata msaada. Accounts an finance sio fields zangu lakini ukianzisha kuna wana board watakusaidia.
 
Unapochagua title uwe unaangalia na jinsi gani ya kupada data kirahisi. Usije hagua title ambayo data zake kupata ngumu ikakuhitaji budget kubwa
 
Back
Top Bottom