Wabunge wote wa upinzani pigeni mzigo kwenye majimbo

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Wapinzani huu muda ni wakafanya vikao vya kuhakikisha tuna meya miji ambayo tuna madiwani wengi na kufanya kazi. Kuna barabara za ndani ndani hazipitiki kabisa hapa DSM sasa fanyeni kazi na wananchi.

Muige mfano wa FILIKUNJOMBE
 
Mnyika piga kazi ingawa unamasikito ya kuondoka Mzee Dr slaa, kubenea piga kazi achanana na kupoteza muda na spika wa bunge, matiko piga kazi, heche piga kazi, shilinde piga kazi, msigwa pigine kazi...matatizo mengine ni ushirikiano na wananchi tu.
 
Wakajifunze kwa Sugu mbeya! Kijana kapiga kazi hasa mashuleni!

Wabunge ambao hawatafanya kazi. Hamna msamaha 2020. Diwani plus mbunge wakishirikiana wanaweza kufanya kitu fulani kwenye jimbo husika. Mfano mashimo makubwa barabarani....kuboresha huduma za kijamii kama vituo vya afya na mashule
 
Back
Top Bottom