Lema na kundi lake wanatafuta kura za huruma

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Wapiga kura wa Arusha Lema asiwadanganye eti mbunge akiwa wa CHADEMA, Meya akiwa wa CHADEMA na Madiwani wakiwa wa CHADEMA, ndo mtapata maendeleo! Hizi ni huruma za kutafuta kura. Ilani inayotekelezwa ni ilani ya CCM na siyo ya Chadema.

Lema ameanza kuwadharau madiwani wake kuwa wameshinda kwa hisani yake, hataweza kukaa nao chini wapange mipango ya maendeleo. Lema hawezi kuishawishi wala kuishauri serikali kama mbunge ili Arusha ipige hatua kutoka hapa ilipo. Alishashindwa kwa miaka mitano hata aongezewe miaka 40 hawezi kitu chochote.

Lema anakiri mwenyewe ana sifa ya kutukana viongozi akiwemo rais. Sasa atashirikiana nao vipi viongozi wa kitaifa ama mkoa kuitetea Arusha?

Pia upotoshaji kutoka kwa mgombea Lema umezidi. CCM haijaongoza jimbo la Arusha kwa miaka 50. Changanyeni na za kwenu. CCM yenyewe ni ya 1977 hata miaka 40 bado. Arusha ya 1995 ni tofauti na Arusha ya 2015 kwa mipaka ya jimbo. Kwahiyo kama mbunge wa 1990 Arusha ilikuwa ni pamoja na Ngaramtoni, na kwasasa hiyo Ngaramtoni ipo jimbo lingine, huwezi kuisema Arusha ya wakati ule na ya leo. Najua wenye vichwa vya kupepesa hawatanielewa lakini jihadharini na maneno mepesi kama tishu.
 
Lema mbunge arusha mjini hutaki unaacha maana kelele zimekuwa nyingi hadi mnatusahaulisha kuwa stars kala seven o'clock in the night
 
Lete story ingine lakini Arusha niya Lema wala hatuitaji atuletee maendeleo yoyote yale..!!
Maendeleo wayapeleke uko kwenye ngome za Ccm maana uko ndio choka mbaya zaidi..!
Maendeleo tunayaleta sisi wenyewe na Lema ndio Mh wetu..!!
Period
 
huyo wa mgao kwenye mabar ya pombe ndio anastahili kudanganya?
 
Unazungumzia miaka mitano ya Lema? Umesahau CCM iko madarakani miaka 54 sasa na hakuna kilichofanyika?

Mkuu vipi majibu kutoka ICC na ICJ....kuna uwezekano wa kufanya tallying turidhike na kura alizopata Lowasa.
 
Maendelea gan unayoyazungumzia mana A town ishaendelea na kingine tunafahamu fitina zenu kwny majimbo ya wabunge wa upinzani
 
mwacheni lema ashinde,, tatizo la tanzania ni kuwa na rais mkali kama inavyoendelea sasa kwa jmp..hata kama wabunge wote wangekuwa wa upinzani hakika wangemuunga mkono tu
 
Wapiga kura wa Arusha Lema asiwadanganye eti mbunge akiwa wa CHADEMA, Meya akiwa wa CHADEMA na Madiwani wakiwa wa CHADEMA, ndo mtapata maendeleo! Hizi ni huruma za kutafuta kura. Ilani inayotekelezwa ni ilani ya CCM na siyo ya Chadema.

Lema ameanza kuwadharau madiwani wake kuwa wameshinda kwa hisani yake, hataweza kukaa nao chini wapange mipango ya maendeleo. Lema hawezi kuishawishi wala kuishauri serikali kama mbunge ili Arusha ipige hatua kutoka hapa ilipo. Alishashindwa kwa miaka mitano hata aongezewe miaka 40 hawezi kitu chochote.

Lema anakiri mwenyewe ana sifa ya kutukana viongozi akiwemo rais. Sasa atashirikiana nao vipi viongozi wa kitaifa ama mkoa kuitetea Arusha?

Pia upotoshaji kutoka kwa mgombea Lema umezidi. CCM haijaongoza jimbo la Arusha kwa miaka 50. Changanyeni na za kwenu. CCM yenyewe ni ya 1977 hata miaka 40 bado. Arusha ya 1995 ni tofauti na Arusha ya 2015 kwa mipaka ya jimbo. Kwahiyo kama mbunge wa 1990 Arusha ilikuwa ni pamoja na Ngaramtoni, na kwasasa hiyo Ngaramtoni ipo jimbo lingine, huwezi kuisema Arusha ya wakati ule na ya leo. Najua wenye vichwa vya kupepesa hawatanielewa lakini jihadharini na maneno mepesi kama tishu.
Manespaa ya Moshi inaongozwa na chadema na hakuna kipindupindu pamoja na kwamba ilani inatekelezwa ya CCM. usipotoshe watu wewe, ni mwiko wacha mbunge wao pia awe wa CDM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom