Siku 20 ndani ya Ikulu JPM vs JK

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,298
33,083
20+Days+PHOTO.jpg

Uchunguzi wa Mwananchi umebaini kwamba katika muda wa siku 20, tangu alipoapishwa Novemba 5, Rais Magufuli

amekonga nyoyo za Watanzania baada ya kufanya ziara za kushtukiza Wizara ya Fedha na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,

akavunja Bodi ya Wakurugenzi ya Muhimbili na kuzuia fedha kutumika kwa ajili ya sherehe badala yake akaagiza zifanye

shughuli za jamii
http://www.mwananchi.co.tz/?/?/2970818/-/nsuiq0/-/index.html
 
Attachments

  • Siku 20za Magufuli.jpg
    Siku 20za Magufuli.jpg
    33.4 KB · Views: 690
Jk alijenga Wodi ya MOI muhimbili, magufuli akapeleka Vitanda! Hawa wote wanafanya kazi moja kwa kupokezana, asingepeleka vitanda kama Jk asijenga wodi ya kisasa ya MOI east Africa, Magufuli kapeleka pesa za matengenezo ya MRI kwa kuwa jk ndie alienunua kufaa hicho, pesa za maintence zisingeenda kama jk asiengesimamia ununuzi wa kufaa hicho, kwenye utendaji ndan ya serikal magufuli hana mpinzani hata Mkapa anasubiri, ila Siasa za kisasa za kizushi zushi na kijanja janja jk hana mpinzani
 
Usitudanganye wodi zote za Muhimbili zilikabatiwa na Mkapa na hata zile mpya alijenga Mkapa
 
Usitudanganye wodi zote za Muhimbili zilikabatiwa na Mkapa na hata zile mpya alijenga Mkapa

Ombeni Sefue siku anakabidhi Vitanda Muhimbili alisema Jengo la MOI ndio limekamilika so Vitanda vyote vitapelekwa huko! Jengo la MOI hata harufu ya rangi haijaisha halafu unataka tuamini lilijengwa kabla ya 2005? Jengo la watoto Muhimbili unalijua? Ukweli hautegemei idadi ya wanaokubali au kuukataa!! Wewe itakuwa Muhimbili unaisoma kwenye Magazeti, ujenzi mkubwa uliokuwa unaendelea Muhimbili sio siri ulionekana kwa kila mtu aliefika huko
 
Jamani pamoja na kasi ya Dkt Magufuli kuizidi ya JK katika kutekeleza mamlaka ya urais, ila haina maana JK sio kiongozi mzuri. Mapungufu yalikuwepo hasa yaliyo sababishwa na ushkaji, kitu ambacho hadi sasa Dkt Magufuli hajakionyesha. Kwanza Dkt Magufuli hana mshkaji CCM. Wote amejuana nao kupitia kazi tu. Hivyo mambo yataenda kikazi kazi zaidi na ukiboronga ni mwendo wa kuswekwa rumande tu.
 
JK ndio kila kitu alianzisha vita na mafisadi na kawamaliza Magufuli kasafishiwa njia tu JK za kutekeleza mambo yake kwa hiyo bado JK atakuwa best sababu siasa za ki check bob alizozifanya EA na kati hakuna anaeziweza wapo wachache sana duniani.
 
Back
Top Bottom