X mass Tablet

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
Hili nalo nenoo

12308543_10153848482788469_4869427536956305437_n.jpg
 
Tutaadhimisha X mass kwa kutembelea wagonjwa tu hospitali na watoto yatima na sio vyenginevyo. #Hapa kazi tu.
 
Na pia aambiwe uhuru tutapiga usafi so x mass tukipaka rangi nyumba tofauti na ilivyozoeleka itakuwa poa.
 
Back
Top Bottom