WanaCCM wote waoga na ndio mzee!

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Jan 7, 2009
1,232
442
:thumbup: Jambo moja tuu tunakubaliana WaTanzania wengi kama sio wote ni kwamba tunataka mabadiliko, katika nyanja zote za maisha
kisiasa, kilimo , uchumi , biashara na haki za raia kwa ujumla
Ila labda hatujui au 'wapumbavu' kama alivyosema mkapa katika uzinduzi wa kampeni za CCM Jangwani .

Hili hasa linahusu wanachama wa ccm wanasema wanataka mabadiliko ,mabadiliko hayatokei ukiwa umekaa au umesimama mahali pamoja kama jiwe, ili upate mabadiliko lazima uanze wewe kubadilika huwezi kuwa mtu yule yule unafanya yale yale huku ukisema unataka mabadiliko, hutaona mabadiliko kamwe maishani mwako.

Kisiasa mwaka 2010 ulipogia kura ccm kwa ahadi zao kama walivyoahidi hata sasa lakini hakuna mabadiliko wala ahueni Iliyopatikana, umekuwa ukilalamika elimu duni ,kupanda kwa maisha, huduma za afya duni mpaka leo hospital hazina dawa, huku nje ya hospital za serikali kuna duka linakuuzia dawa ulizopaswa kupewa bure au gharama nafuu zaidi ndani ya hospital ya serikali,lakini hazitolewi ipasavyo. Kilimo cha mkono mpaka sasa.

Halafu unakuja uchaguzi kuchagua viongozi wa kukusaidia kutatua malalamiko yako bado unabaki pale pale kuchagua viongozi wa chama kile kile, na ahadi zile zile, eneo lile lile mtindo ule ule, ukinambia unataka mabadiliko namna wewe no mpumbavu kabsaa !! Na hujui unataka kubadilika wapi kisingi unatakiwa uishi hivyo hivyo na matatizo yako milele maana hujui jinsi ya kubadilika.

Pili wanaCCM wengi ni waoga hili liko wazi wanajadili mabadiliko utawasikia hao wapinzani hawana uzoefu wa kuongoza nchi hivi ni nani alieanza kuongoza nchi kwa uzoefu hapa uzoefu maana yake ulishafanya kazi hiyo kabla,
Kuanzia Mwl jk Nyerere, All H mwinyi, BWM mpaka Kikwete nani alikuwa na uzoefu kabla,?

Huo ni uoga bahati mbaya hata viongozi wote wa CCM wanajua uoga huo wa wanachama wao hutumia sana kuwatisha wasifanye mabadiliko wayatakayo,
huonyesha mifano ya vita kuwatisha, na huu umekuwa ugonjwa mkubwa wameambukiza mpaka watoto na wajukuu wao kibaya zaidi wameuhamishia uoga mpaka bungeni wanawatisha hata wawakilishi wa wananchi ati wasithubutu kuchukua hatua zozote kwa viongozi wa kitaifa kwa makosa yao eti nchi itayumba huu ni uoga na udhaifu tuu.
 

Attachments

  • 1440374699587.jpg
    1440374699587.jpg
    28.3 KB · Views: 285
  • 1440374813637.jpg
    1440374813637.jpg
    30.8 KB · Views: 239
Watanzania ni watu wa ajabu sana, wakati niko field ya mambo ya afya nilizinguka mikoa mingi, umaskini ni mkubwa lakini wapi wao wapo tu, kikwete hajatekeleza ahadi hata moja, sasa ni kama wamesahau, maisha ni magumu, sukari, mchele, mafuta yapo juu, umeme wa shida watu wamo tu..
wakina mbowe, slaa, lema, maigwa, mnyika na nk wamejitahidi kuwaelimisha kwa hali na mali mpaka kuweka
maisha yoa hatarini wapi wapo, safari hii ukiipigia kura ccm una matatito makubwa..
 
Ujinga una mwisho wake huwezi kudanganya watu wote hata kama hatotokea uwadanganye, huwezi kuwadanganya siku zote .
 
Ujinga una mwisho wake huwezi kudanganya watu wote hata kama hatotokea uwadanganye, huwezi kuwadanganya siku zote .

Chesco, mchakato wa kuteua wagombea wa Urais na Wabunge unaonyesha kuwa ugonjwa wa "ndio mzee" na "zidumu fikra za mwenyekiti" umeingia UKAWA kwa kasi.
Kasi ambayo imewafanya viongozi wengi wabaki na butwaa na kutoonekana kwenye shughuli muhimu za UKAWA.
Chukue tahadhari.
 
Chesco, mchakato wa kuteua wagombea wa Urais na Wabunge unaonyesha kuwa ugonjwa wa "ndio mzee" na "zidumu fikra za mwenyekiti" umeingia UKAWA kwa kasi.
Kasi ambayo imewafanya viongozi wengi wabaki na butwaa na kutoonekana kwenye shughuli muhimu za UKAWA.
Chukue tahadhari.
Chadema ndiyo ina "ndiyo mzee" kuliko hata CCM angalia wakati wa uteuzi wa mgombea wa wajumbe NEC CCM walionyesha ujaribu wa kutokubaluana na Mwenyekiti wao !CDM wote andiyo walisema ndiyo mzee,Aliyekataa ndiyo mzee ni Dr Slaa
 
​Mi najua wanaCHADEMA wooote ni waoga na ma'ndio mzee' maana hata mkiambiwa kula matapishi yenu na DJ mko radhi!
 
Chadema ndiyo ina "ndiyo mzee" kuliko hata CCM angalia wakati wa uteuzi wa mgombea wa wajumbe NEC CCM walionyesha ujaribu wa kutokubaluana na Mwenyekiti wao !CDM wote andiyo walisema ndiyo mzee,Aliyekataa ndiyo mzee ni Dr Slaa

Inasikitisha na kuzima matumaini ya watanzania wengi.
Nilisikitika sana Mbowe alivyosema hadharani kuwa Lowassa alipelekwa kutambulishwa kwenye CC ya kama mwanachama mpya na mgombea urais kwa tiketi ya Chadema usiku.
Kesho yake akaenda kupewa kadi pale Bahari Beach..dah
 
Waoga ccm wako busy kutetea mambo Yale Yale mfumo ule ule afu nao wanasema wanataka mabadiliko hatuzugiki hapo
 
​Mi najua wanaCHADEMA wooote ni waoga na ma'ndio mzee' maana hata mkiambiwa kula matapishi yenu na DJ mko radhi![/QUOTE /]
Kama warioba alivyobadilika kwa uoga sasa anaunga mkono ccm iliodharau maoni ya katiba mpya aliotoa na kutetea tangu awali leo amekuwa mwoga
 
Mimi binafsi naichukia sana serikali ya CCM siyo kwa ajili ya kutotimiza ahadi zao tuu, ni pale ambapo wanapoona watu wanadai haki zao za msingi kabisa wako radhi kuhatarisha uhai au kuutoa kabisa. Nikikumbuka walichomfanyia Dr. Ulimboka sina hamu na nitaomba Mungu usiku na mchana kwa kupitia dhambi ile wasiingie Ikulu tena maisha yao yote. Jamani inauma sana!

Kweli Mungu atusamehe kwa dhambi ile.
 
Back
Top Bottom