majambozi..online???

pauline

JF-Expert Member
Dec 26, 2010
650
140
ktk tafuta tafuta ya mwenza online,nimejikuta naangukia kwa kaka mmoja,tatizo yeye yuko mbali,tunapigiana simu,tunachat facebook na juzi juzi kanishawishi nikajiunga na skype...

tatizo nililonalo,ni juzi wakati tunachat skype ameniomba nivue top aone maziwa yangu-mie nikakataa katu katu...ameninunia-anasema mapenzi yetu yatasurvive vipi na sie tuko mbali?

swali kwenu wanajamii.. 1.kuna watu mnafanya hivi??? huwa mnahitimisha i mean mnafika kileleni kwa 'kumwangalia' tu mwenzio akiwa naked kny computer screen?...kama sio nini zaidi huwa mnafanya?.............

asanteni......:embarrassed::embarrassed::msela:
 
Huyo ana dalili zote za kukutaka KINGONO zaidi kuliko kimapenzi
 
Huyo anadalili zote za kukutaka KINGONO zaidi kuliko kimapenzi

eti eeeh??? hata mie nahisi hivyo...,hama couple ambazo ziko mbali from eah other wanaofanya huu mchezo wajemeni?:twitch:
 
Duh mdogo wangu nakushauri usitoe top yako kabisa usijejikuta kwenye mitandao mingine bora angekuwa ni mpenzi wako mmeanzana tangu siku nyingi then akasafiri hapo unaweza fanya hivyo. Hujamjua kihivyo usimwamini sana.
vipi mgomo
 
eti eeeh??? hata mie nahisi hivyo...,hama couple ambazo ziko mbali from eah other wanaofanya huu mchezo wajemeni?:twitch:

Wa kuvuliana nguo kuonyeshana maTT wakati hata hamjaonana??? Labda kama mna mpango wa kingono zaidi

Mtu hata hujamuona live then umuonyeshe nyonyo ktk camera?? Aaaah hii kali
Mahusiano ya mbali yapo lakini sio kihivyo
 
mmmhhh huyo ambaye hata humfahamu sikushauri,watu hufanya hivyo....nimeona kabisa.....ila its unnecessary risk.....mnakuja gombana anatoa picha zote na hata wazazi+marafiki anawapa........it is not worth it, at least not now.....ndo maana JF una beep....kumbe una chombo cha online......l.o.l:laugh::laugh::laugh:
 
Duh mdogo wangu nakushauri usitoe top yako kabisa usijejikuta kwenye mitandao mingine bora angekuwa ni mpenzi wako mmeanzana tangu siku nyingi then akasafiri hapo unaweza fanya hivyo. Hujamjua kihivyo usimwamini sana.
vipi mgomo

Duuh pau na wewe unagoma?
 
...ndo maana JF una beep....kumbe una chombo cha online......l.o.l:laugh::laugh::laugh:

Michelle kwa hio kama ungekuwa unamfahamu lets say mumeo,ungefanya hivyo?? hapo kwenye bold usiseme kwa nguvu watu wakasikia lol :laugh::laugh:
 
Wa kuvuliana nguo kuonyeshana maTT wakati hata hamjaonana??? Labda kama mna mpango wa kingono zaidi

Mtu hata hujamuona live then umuonyeshe nyonyo ktk camera?? Aaaah hii kali
Mahusiano ya mbali yapo lakini sio kihivyo

mie nimeamua kumpotezea,ila ninampenda i dont want to loose him we have a lot of chemistry between us! hapo kwenye bold ingekuwa tumeoana ingekuwa tofauti???? mie sijui naonaje? hata ningeolewa naye bado sidhani kama ningekuwa tayari kuvua mbele ya screen yake....:coffee:
 
Duh mdogo wangu nakushauri usitoe top yako kabisa usijejikuta kwenye mitandao mingine bora angekuwa ni mpenzi wako mmeanzana tangu siku nyingi then akasafiri hapo unaweza fanya hivyo. Hujamjua kihivyo usimwamini sana.
vipi mgomo

hivi naomba kwa mnaotumia skype mniambie kwa mfano mtu anaweza kukurecord au akachukua pictures?
 
mkimbie huyo hana mpango na wewe anataka umpe gemu 2uu asepe na kingne ucfanye hvyo kuonyesha onyesha wengne wanakurecord dada kuwa mpole
 
mie nimeamua kumpotezea,ila ninampenda i dont want to loose him we have a lot of chemistry between us! hapo kwenye bold ingekuwa tumeoana ingekuwa tofauti???? mie sijui naonaje? hata ningeolewa naye bado sidhani kama ningekuwa tayari kuvua mbele ya screen yake....:coffee:

Pau, dont tell me my dia!!!!
How can you love somebody U neva met??
Hebu siku moja mwambie akuwekee bamia yake ktk camera uione kama atakubali . . .
 
Michelle kwa hio kama ungekuwa unamfahamu lets say mumeo,ungefanya hivyo?? hapo kwenye bold usiseme kwa nguvu watu wakasikia lol :laugh::laugh:

Hapo nyekundu Pauline,ningefanya hivyo........jamani mume tena......:laugh::laugh:
 
Please usifanye hivyo Pauline..hata kama umeshafall tayari kwake! Be strong, sio kila kitu unafanya dear! unaweza ukajiabisha kwa kufanya hivyo! Wanaume wana maneno matamu sana, sijui wanaendaga shule gani hiyo, na wa wachache sana wanamaanisha wanayoyasema...be careful!
 
...........you seem to be very considerate and understanding!!

I am, kwa mwanaume aliyeacha wanawake wote duniani akanioa mimi......jamani,hilo mbona dogo kufanya,na zaidi ya hayo......:laugh::laugh:
 
Back
Top Bottom