Search results

  1. W

    Kata ya Kunduchi Ulinzi Shirikishi mchango ni Tsh 15,000 kwa mwezi kwa Nyumba, Wajumbe wapewe EFD

    Huku mbezi beach tunalipa elfu kumi tu kwa mwezi.... Na Hali ya usalama fresh tu
  2. W

    Prof. Mukandala: Matokeo ya Rais yahojiwe Mahakamani

    Kupiga kula iwe lazma kwa mtu aliyezidi miaka 18...
  3. W

    Zoezi la utambuzi wa mifugo kielektroniki mwisho Oktoba 31, 2022

    Ni ng'ombe pekee yao, wanasajiriwa pamoja na kuwekewa hereni za kielectroniki..
  4. W

    Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

    Nasoma comments...
  5. W

    Niliyoyakuta Keko

    Umeona matumbo ya hao watumishi wa Mungu ktk hiyo picha!..
  6. W

    Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

    Mtoa mada unaonekana una msongo wa mawazo Hadi kushindwa kutoka nyumbani, punguza mawazo hizo Ni changamoto tu na mapito... Member wengi watakupa mawazo mazuri Nini Cha kufanya.
  7. W

    Msaada: Uume unauma kwa ndani na kutoka majimaji

    Pole Utapona zingatia matibabu
  8. W

    Muuguzi Mloganzila adaiwa kujinyonga kisa kunyimwa mshahara

    Watasema marehemu alikua na stress...
  9. W

    Muuguzi Mloganzila adaiwa kujinyonga kisa kunyimwa mshahara

    Utaratibu Ni kwamba hata mtu akisimamishwa kazi inapaswa mshahara wake wote apate na sio nusu mshahara Kama zamani.... HR atakuwa na walakini, maana haiwezekani mtu asimamishiwe mshahara na aendelee kwenda kazini... Mshahara unasimamishwa kwa mfanyakazi ambae Ni mtoro sugu...
  10. W

    Nape Nnauye ataka Mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iliyodhibitiwa iruhusiwe. Je, hoja hii inatoka moyoni mwake?

    Kwani Katiba na Sheria zinasemaje.... Au ndio anazungumza maneno tu vitendo hakuna..
Back
Top Bottom