Habari zenu,
Nina mtoto wa kiume wa umri wa miezi mitatu na wiki mbili. Tangu nimejifungua sikupata maziwa siku tatu mfululizo kwahiyo alikuwa anapewa maji tu mpaka maziwa yalivyotoka.
Mtoto si mnyonyaji saana akinyonya titi moja basi lingine hataki mpaka wakati mwingine na nikimlazimisha...
Ni nini husababisha kitovu kuwasha kwa ndani?
Hakitoi uchafu/hakina uchafu wala sioni chochote,nikiingiza kidole nafanya kukizungusha tu vinapoa maana naogopa kukuna vinauma,hakiwashi muda wote wala si kila siku ni mara mojamoja sana..ni hali ya kawaida au kuna tatizo?
Msaada tafadhali...
Habari za asubuhi,
Sauti inakwama haitok vizuri,nikimeza mate naumia mpaka nahisi machozi yananitoka..kichwa kizito kinauma,mafua ndo usimeme..kifua kinauma yani kukatia kifuani kupanda juu panauma
Sina raha kabisa nahisi kuboeka na kero tu..
Ee Mungu uniponye afya itengemae.
Habari
Nina tatizo la matiti {yote mawili} kuhisi yamekuwa mazito na yanauma kwa kuvuta na kuacha..nikivua braa nahisi yanadondoka kwa maumivu ninayopata. Nilidhani ni kawaida ila mbona hayaponi...ni tatizo au ni mfumo tu wa hormones umebadilika pia nikiminya minya nahis maumivu na wakati wa...
Greetings wapendwa
Hii ni kutoka ndani ya moyo, kiukweli nimekumis mno Erickb52 beibe hata wanaokwenda vitani hawachelewi kiasi hicho.
Kila siku unasema utarudi nasubiri kuanzia asubuhi mpaka jioni lakini waapi
Madame B my wii au yupo huko nyumbani,cousin bro Mr Rocky hujanionea huko huyu...
Habari,
Ninapokua natumia PC (DELL) ghafla kila kitu kinapotea then yanakuja maandishi( preparing to configure windows.. Do not turn off your computer) tatizo ni nini na nafwata njia sahihi za kuwasha na kuzima?
Habari wana jf,
Mwanamke mwenye mzunguko wa hedhi siku 32 na akakutana kimwili na mwanamume siku ya 19-22 bila kutumia kinga halafu akapata tena periods mwezi unafwata ila siku zimepungua amebleed siku mbili na nusu na sio kawaida( siku anazoenda kawaida ni 5).
Tatizo ni kwamba matiti bado...
Habari wapendwa.
Nina tatizo la kuwashwa miguu kuanzia magotini kushuka chini, yani najikuna mpaka kunatoke kipele kinachoweka maji kama lengelenge na bado sehemu hiyo hiyo itawasha bila kupoa na najikuna mpaka najiacha na alama,hospital naishia kupewa piriton af hainisaidii,yani ata mbu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.