Search results

  1. B

    Gazeti la The Citizen limeupotosha umma kuhusu hisa za Vodacom

    Hii ni aibu kwako mleta hoja. Unataka kusema wewe huelewi kuwa Orbit Securities ndiye anayeruhusiwa kukusanya taarifa za mawakala wote nchi nzima na hivyo anachokisema yeye kinatokana na kile alichokikusanya kwa mawakala wote wanaohusika ktk zoezi la kuuza hisa za Vodacom? Sijawahi kuwa na...
  2. B

    Mama Anna Kilango na Tundu Lissu nusura wazichape (Picha)

    Hapana ndugu. Niliisoma ile habari kwenye gazeti la The Citizen. Huyu Mama ndio aliyeanza, akimtuhumu Tundu kwa ku-disturb mipango ya bunge kwa kutumia kanuni. Hii ilikuwa ni mara tu baada ya hotuba ya Sugu kusimamishwa bungeni juzi asubuhi kwwa madai kwamba ilijaa maneno ya kuchukiza. Kazi yake...
  3. B

    Je kuwa na mpenzi lazima muoane?

    Lakini labda swali ndugu ni kuwa ni kwanini wanawake ndio mara nyingi hung'ang'ania kuolewa? Nadhani inategemea na makubariano yenu. Inawezekana kabisa kabisa kuwa mkaanzisha mahusiano yenu kwa lengo la kupatiana starehe tu pale inapohitajika. Kama ni hivyo, basi asiwepo hata mmoja kati yenu...
  4. B

    Mimi tena wanaume basi!

    Inakuaje kila siku unatapeliwa wewe tu? Inawezekana tatizo lipo kwako dada. Jichunguze vizuri. Ile tabia ya wasichana wengine yakutaka mtu akikupenda eti ummiliki ionekane bila wewe yeye hawezi kufanya kitu mpaka kumpangia nini afanye na wakati gani, siyo wanaume wote wanaweza kuivumila. Kama...
  5. B

    Natafuta mwanaume

    Hilo nalo neno. Hata mimi kuna mmoja alifanya kitu kama hicho ila siyo hapa. Kumbe shida yake ilikua kakwama ada ya mtoto wake. Kazalishwa na wengine huko anakuja kujitangaza eti anataka mchumba kumbe nia yake ni kumvulia shida zake zote.
  6. B

    Bungeni: Halima Mdee aambiwa anacheza 'mbwa kachoka'

    Ndugu, Haya mambo siyo bahati mbaya. Yamepangwa yawe hivyo. Lengo ni kuondoa live broadcast. Subiri utaona kitakachofuata hapo baadaye. Haiwezekani taifa zima tukawa wajinga wakuchagua wanatukana hovyo eti ndio wanaofaa kutuwakilisha na watukanapo, kiti kiko kimya.
  7. B

    "Mbuzi wa Vingunguti" Bungeni...

    Ni sawa Mku ila kwa vile mambo haya hayakuwepo chini ya uongozi uliotangulia, ni dhahiri kuwa kuna udhaifu mkubwa sana kwenye kiti ambao ndio chanzo cha yote haya. Kiukweli inasikitisha kwa watoto wao kusikia baba zao ni mbuzi wa vingunguti au ni mbwa au wanatukana hovyo kama vile f--- you! Haya...
  8. B

    "Mbuzi wa Vingunguti" Bungeni...

    Hivi Ndugu, Ni kipi ni ahueni kati ya Mbuzi na Mbwa? Yule Mtangazaji Mbunge anasema hawa watu ni Mbwa na ZeMalcopolo anasema siyo Mbwa bali ni Mbuzi wa Vingunguti. Sasa tujue lipi? Au tuwape majina kulingana na vyama vyao so kuwepo na Mbwa, Mbuzi n.k? Matusi gana haya jamani kwa viongozi wetu...
  9. B

    Juma Nkamia: Nazungumza na Mwenye Mbwa sio Mbwa!

    Lakini ndugu, kwani na wewe ni mbwa? Mambwa wenyewe wanaelewana lugha na ndio maana mwenye mimbwa yake hakusema lolote pale. Sisi wanaJF ni binadamu so tuiache hiyo mimbwa iendelee kuongea lugha ya mimbwa. Au vipi?
  10. B

    Tanzania kupeleka battalion moja Congo

    Nalazimika kuamini kuwa unazungumza utani ili angalau tupate kucheka. Vinginevyo, sidhani kama wewe ni mtu sahihi wakuzungumzia nguvu au kudumaza kwa majeshi ya watu wengine. Sidhani pia kama wewe ni mtu sahihi wa kuzungumia kama Rwanda wanaweza kutuvamia au laa. Pengine ka taarifa yako tu ni...
  11. B

    PICHA: Dr. Slaa kwenye kikao na CEO Round Table - Kempinski Hotel

    Hahahahahahahahahahahahahahaha! Unafikiria nini ZeMarcopolo? Nani kakwambia Dr Slaa kipato chake hakitoshi kunulia hizo suti jamani?
  12. B

    The Citizen You Can't Be Serious!! Nyie ni Gazeti Makini!!

    Naona unajitahidi sana kutetea uongo. Kumbuka kanisa ni mali yake lile (kwa mujibu wa dicuments za usajiri). Sitashangaa baadaye kusikia hata wewe ni mali yake kwani you are a product of his investment. Endelea kupumbazwa. Hata hivyo, nakushukuru kuona mara hii umeachana na neno Baba kwani Baba...
  13. B

    The Citizen You Can't Be Serious!! Nyie ni Gazeti Makini!!

    Ndugu Esami, To make this story short, unaonekana wewe ni mtu wa karibu sana na Mheshimiwa Kakobe, kwanini usimshauri kuwa asikae kimya na aende pale MCL akaonane na Bwana Mkinga au kama Mkinga ni wa level ya chini kwake basi angalua aonane na mabosi wake Mkinga (Machumu na Tido) aseme jamani...
  14. B

    The Citizen You Can't Be Serious!! Nyie ni Gazeti Makini!!

    Umeisoma kweli stori yenyewe au na wewe ni wale viuongozi vipofu wanaoongoza vipofu (Mathayo 15:13-14)? Binafsi nimeisona stori na nimeridhika Kakobe hayupo nchini na pale wanaweka mikanda. Kuna shida gani na report kama hiyo? Mtundu kisu, the citizen wameact very professional. Soma stori yao...
  15. B

    The Citizen You Can't Be Serious!! Nyie ni Gazeti Makini!!

    Mimi nadhani wakati mwingine siyo vizuri kuwa too emmotional for nothing. Kama gazeti, hakuna kosa kuuliza mahali alipo any public figure, Kakobe akiwa mmoja wapo. Si sahihi pia kuleta emotions zitokanazo na imani binafasi kwa mtu badala ya kuwa na ile imani ya ukweli kwa Mungu. Napata picha...
  16. B

    Askari Znz Wanachangia kuwaficha Waarifu

    Hivi kuna mtu ambaye mpaka leo hajaelewa kuwa mauaji ya wakristo Zanzibar ni stori ndefu yenye mpango mahsusi? Ukiona wauaji hawapatikani kila inapotokea ujue kuna mikono ya wazito wasioguswa hapo.
  17. B

    Usiipite hii post tafadhali...hebu ichungulie

    Chamsingi na muhimu ni kuikubari hali yako. Mimi niliyemuoa kanizidi miaka miwili ila nimeishi naye kwa miaka minane hivi sasa na tuna watoto wawili. Tofauti yetu ni kuwa huyu wangu hana pesa kama alivyo wako na mimi kama baba wa famila ndio kila kitu. Kutokana na elimu yake ya Form Four, bado...
  18. B

    Loliondo to be split into two

    I do concur. There is more to Liliondo than meets the eye. Historically, people residing in that area were shifted from somewhere close to Serengeti in 1980s. Should we say the governemnt of that time was not aware that those people would multiply and pose a threat to the conservation area...
Back
Top Bottom