Search results

  1. O

    Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA, Mbeya

    chadema ndani yangu chadema rohoni chadema mwilini nikilala chadema nikiamka pia chadema mpaka magamba yeseme tosha kwa vinywa vyao
  2. O

    Imedhihirika, uchaguzi wa urais SAUT ni CCM vs CHADEMA, CCM yamwaga mamilioni.

    Dova kamanda kaza buti nimesoma nawe advnc school ninajua uwezo wako uhodari wako kisiasa hakika kamanda utakuwa raisi wa taasisi hyo muhimu sna katika historia yako ya kisiasa,mimi bado napambana na magamba huku iringa kama iliryo kawaida yangu
  3. O

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Tujuze makamanda wa iringa tunasubiri hukumu kwa hamu
  4. O

    Matembezi ya amani kutunisha mfuko wa M4C

    nitaungana pamoja nanyi wana wa dar kwa harakati hizi za ukombozi mimi niko chuo iringa nitachangia pesa kiasi cha elfu ishirini na nitashiriki matembezi hayo kama yatafanyika mwez huo wa tatu kwani tutakuwa likizo.wazo zuri sana na hii ni dalili ya kwenda ikulu
  5. O

    Nini Majukumu ya Mbunge kwa wapiga kura wake?

    kazi ya mbuge wa chama gani coz wabumge wa upinzani wanakazi ya kutetea maslahi ya wananchi hasa kuishauri,kuikosoa na kutunga sheria za nchi kwa maslahi ya wananchi lakini wabunge wa CCM kazi yao niku isaidia serikali kujibu hoja za wabunge wa upande wa pili,kwa hiyo nchini kwetu kazi ya mbunge...
  6. O

    CHADEMA si kimbilio la wasomi!

    Je magamba ndio kimbilio la wasomi? nakama magamba na chama chao wameenda shule wanawezaje kuliingiza taifa katika mikataba kandamizi,au huo usomi wao wamesomea kuwanyonya watanzania maskini?kumbuka kuwa ukombozi wa taifa unahitaji dhamira safi,moyo safi,ujasiri na wala siyo kuwa na phd wala...
  7. O

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    Orio Lilio;4509699]haki haizuwiwi kwa mtutu na mabomu ya machozi au ya moto,watu wa moro msirudi nyuma songeni mbele kulikomboa taifa
  8. O

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    haki haizuwiwi kwa mtutu na mabomu ya machozi au ya moto,watu wa moro msirudi nyuma songeni mbele kulikomboa taifa
  9. O

    Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

    nani kakuambia Hai kunashida ya kila namna,nenda kaangalie jimbo la huyo mwigulu nchemba ndo kuna neema?mwache kamanda apige kazi ya ukombozi wana Hai tunatambua mchango wake awepo Hai au atakapo kuwa nje ya Hai.Mbowe komboa taifa kata anga kupigania ukombozi,mwenyekiti shupavu asiye yumbishwa...
  10. O

    Kwa mbinu hii CCM itatawala milele

    warudi studio
  11. O

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    peoples power haki dhidi ya dhuruma tunashukuru mahakama kwa kutenda haki
Back
Top Bottom