MBOWE NI KAMA MREMA WOTE NI MADIKTETA
Mtikisiko unaokikumba chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), ni kielelezo cha kwanza kufumuka hadharani kuhusiana na udikteta alionao mwenyekiti wake Freeman Mbowe
Hatua ya kusimamishwa uongozi kwa makamu mwenyekiti wa chama hicho, Chacha Wangwe ni...
Kwanza kabisa kitendo ulichofanya nicha kipuuzi mno
cha kukushauri ukiwa kama mwanaume mwenzangu kwanza inafaa ukatipoti polisi ili wajue namna ya kukusaidia au kituo chochote cha ustawi wa jamii kilicho karibu nawe kwa ajili ya msaada zaidi.
inaonekana wewe huyo hausigeli humthamini na...
LOWASA ALICHAFUKA WAPI WAPI MPAKA ASAFISHWE?
Nilisoma uzushi mkubwa katika moja kati ya magazeti yatolewayo mara moja kwa wiki siku chache zilizopita.
Pamja na mambo mengine, gazeti hilo liliorodhesha viongozi kadhaa wa CCM na serikali wakiwemo mawaziri, naibu mawaziri na...
Umezuka mtindo wa baadhi ya magazeti kuandika uzushi dhidi ya CCM kwa kutumia kisingizio cha hoja zinazotolewa bungeni na wabunge wa chama hicho chenyewe.
Kwa mfano, kauli iliyotolewa na mbunge wa Same Mashariki katika mkoa wa Kilimanjaro, Anne Kilango Malecela kuhusu fedha za EPA na baadaye...
MBEA UMEMTOKA DK.SLAA
Pamoja na kutaka kuwapotosha Watanzania kuwa fedha zilizochotwa isivyo halali na makampuni 22 kutoka mfuko wa madeni ya nje (EPA) katika benki kuu ya Tanzania (BoT) ni za serikali, mbunge wa karatu mkoani manyara (CHADEMA) Dr. Wilbroad Peter Slaa wiki hii ameumbuka...
Tokea Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) ujitokeze kujibu kejeli zilizotolewa na Mwenyekiti wa Taifa wa CUF, Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu wake, Seif Sharrif Hamad dhidi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, waandishi mbalimbali wa makala magazetini wamekuwa...
Kifo cha Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk. Daudi Balali kinaonekana kugeuzwa kuwa mtaji wa kisiasa miongoni mwa vyama vya siasa nchini.
Kwa mfano, vyama vilevile na wanasiasa walewale waliokuwa wakimuita marehemu Balali kuwa ni mwizi na fisadi anayepaswa kushtakiwa mahakamani...
Nimekuwa nafuatilia malumbano yaliyoshamiri baina ya chama cha CUF na CCM kuhusu mapendekezo ya vyama vyote viwili kutaka kuwe na Serikali ya Mseto Visiwani Zanzibar.
Wakati katika upande wa CCM nimekuwa nikiona au kusoma viongozi kutoka sehemu zote mbili kama Rais Amaan Abeid Karume...
Jamani, sioni kwa nini mke wa rais kupanda ndege ya rais iwe ni issue. Kama ndege hiyo ni kwa ajili ya kumpa rais convenience basi inafaa tuelewe tu kuwa convenience ya mke ni convenience ya mume isipokuwa kwa mtu asiyejali maisha ya utulivu na familia yake. Nakubali nchi inamatatizo lakini...
Maneno hayo! Haya ndiyo maneno ya kumwambia Muungwana. Sio mtu anataka kufuata njia njema mwingine anajifanya kutoa ushauri wa kumsaidia eti "ataaibika mahakamani" Ni ujinga mtupu! Nchimbi hawezi kuaibika mahakamani, watakaoaibika ni wale wanaopika kisichoiva na baadaye wanaogopa kupakua!
Majita, haiyumkini wewe ni bonge ya mshirikina! Ukilala, ukiamka na ukikaa, ukitembea unasikia sauti kichwani mwako! Katika karne hii ingefaa tuache kuchochea mambo ya kishirikina. Nadhani wewe ni kati ya wale watu ambao wakisikia Bagamoyo, Sumbawanga, Pemba na Tanga wanachowaza si utajiri wa...
Kweli, Mmasai ni CCM, Disco (Bilicanas) ni CHADEMA mkuki ni Ushindi. Fisadi Mtoto umemwelewa Lunyungu? CCM ITAACHAJE USHINDI: KIONGOZI BORA ATATOKA WAPI!?
Achebe, Nakubaliana na wewe kwamba katika mafanikio ya Nchimbi ni pamoja na kuongoza vizuri UVCCM kwa miaka kumi na kufanikiwa kupitisha kanuni mpya ya UVCCM ambayo imelenga kudumisha demokrasia ndani ya UVCCM. Kwa kukusaidia tu, mafanikio yake mengine, tena kwa uchache sana ni kama ifuatavyo...
Ha! Kumbe Ndimara ndio yule aliyekatwa mapanga? Iweje sasa anataka Nchimbi atumie njia za porini kudai haki yake ya kikatiba na inayolindwa kisheria!? Tusichanganyane! Nchimbi, najua wewe ni mpenzi wa JamboForum lakini nakusihi usifuate ushauri huo wa Ndimara maana hamtakii mema mwenzake...
Loh, hii kiboko! Ukweli uko hapo hapo. Kama ni mtu wa haki na ni muungwana ni wajibu wako kutetea na kulinda your dignity kwa njia iliyo sahihi na inayokubalika. Kweli kuna ubaya gani Nchimbi kwenda mahakamani kutoa jambo lake? Nampongeza Fisadi Mtoto kwa kuliona hilo. Hatuna haja ya kujishikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.