Search results

  1. Ilulu

    Utaratibu mbovu wa upakiaji magari wa kampuni ya Kamanga ferry - Mwanza

    Kama mtumiaji wa Kivuko cha Kamanga Ferry, kivuko kinachotoa hudumakati ya jiji la Mwanza na upande wa Sengerema katika ziwa Victoria. Napendakutoa dukuduku zangu juu ya utaratibu mbovu na ambao si wa kiusalama unaotumiwana mmiliki au wafanyakazi wa kampuni hii katika upakiaji wa magari...
  2. Ilulu

    People who post explicit pictures of exes online face jail sentence after 'revenge porn' is outlawed

    People who post explicit pictures of exes online face jail sentence after 'revenge porn' is outlawed in California Legislation passed to tackle growing problem of 'revenge porn' Spurned lovers who post graphic images of ex face prison sentences Those convicted of malicious intent could also...
  3. Ilulu

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    Unaweza ku-download hapa; http://www.kazi.go.tz/wp-content/uploads/2013/07/NEW-WAGE-ORDER.pdf
  4. Ilulu

    Revealed: What triggered off Mtwara deadly chaos

    25th May 2013 A woman shows her house alleged to be burnt by Field Force police during the operation to calm the situation erupted after anti-gas transportation from Mtwara to Dar es Salaam clashed by riot police on Wednesday at Magomeni in Mtwara region. Situation in Mtwara is calm...
  5. Ilulu

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Tukio katika Picha: kwa Hisani ya na Tembelea FULL SHANGWE BLOG Chanzo: FULL SHANGWE BLOG
  6. Ilulu

    Wakati TZ inaendelea na mbwembwe za majukwani juu ya Reli, Jirani zetu wachanja Mbuga

    Tanzania tumebaki kusikiliza hotuba za viongozi wetu, tutaimarisha reli ya kati na kuunganisha na Rwanda/ Burundi, mara reli toka Tanga hadi Musoma na zaidi reli toka Mtwara hadi Mchuchuma & Liganga Maneno mengi vitendo zero, sasa jirani zetu Msumbiji wao wanafanya kweli... na hii ndiyo habari...
  7. Ilulu

    Gesi!

    Natamani Serikali ingemaliza kwanza ujenzi wa Barabara kati ya Nyamwage hadi Somanga, imechua muda mrefu sana kumalizika kwa kipande hiki korofi na kinachotesa sana Watu wa Mikoa ya Lindi na Mtwara
  8. Ilulu

    Wenzetu Uganda Wameweza, SSRA Mko Wapi?

    Kama kuna jambo limekuwa linanitatiza ni pale Mifuko Yetu ya Jamii inapopata kigugumizi inapohitaji kutoa maelezo ya ukokotoaji wa faida itokanayo na michango ya mwanachama. Au niseme ni pale mwanachama anapotaka kujua kwa miaka yote aliyochagia mfuko, ni kiasi gani cha faida kitaongezeka...
  9. Ilulu

    Rwanda’s Defense Minister spills “secrets” about DRC, M23

    By ARINAITWE Rugyendo Rwanda's Defence Minister Gen. James Kabareebe has spilled chilling secrets about the conflict in the neighbouring Democratic Republic of Congo- DRC and it's nemesis, the M23 rebel group fighting to topple President Joseph Kabila. And although Rwanda has been accused of...
  10. Ilulu

    Kagame Reveals Secret To Topple Kabila

    By Arinaitwe Rugyendo, In Kigali: An angry Kagame makes his point during the press conference Rwandan President Paul Kagame has lifted a lid on elements in the international community who plotted to overthrow President Joseph Kabila of the Democratic Republic of Congo, last year. Addressing...
  11. Ilulu

    HOTUBA za Bajeti Mbadala na Hali ya Uchumi nchini kutoka Kambi ya Upinzani Bungeni

    Mh. Zitto Hii tweet yako hapo mwishoni sijakuelewa ( Bolded) Tweets 5m Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe "@SultanKipupwe: I wish ningesikia ending Remarks on #ShadowBudget . I am very impressed. @zittokabwe" that the Budget was to be withdrawn Expand Collapse Reply RetweetedRetweet...
  12. Ilulu

    Kwako Ndg. Pasco: Maandamano Yamefanyika Bila Idhini ya Katibu wa Chama!

    Kingine nilichoambiwa ni matumizi ya usafiri (FUSO) kukusanya watu toka Nzega Ndogo hadi Isungangwanda
  13. Ilulu

    Kwako Ndg. Pasco: Maandamano Yamefanyika Bila Idhini ya Katibu wa Chama!

    Hongea sana Mh. Kigwangallah naambiwa ulinguruma vilivyo
  14. Ilulu

    MP Dr Hamis Kigwangallah, UPDATES PLEASE!

    Hatimaye napata taarifa kuwa muda mchache ulipita Mh. Kigwangallah ameonekana maeneo ya NATA (Kijiji) akiamasisha watu kuanza maandamano
  15. Ilulu

    MP Dr Hamis Kigwangallah, UPDATES PLEASE!

    Hute, jitahidi tafadhali, mimi nimeharibikiwa katikati ya Mambali na Bukene nilikuwa nawahi kufanya coverage ya hii event
  16. Ilulu

    MP Dr Hamis Kigwangallah, UPDATES PLEASE!

    Leo Jumamosi tarehe 16/06/2012 ndiyo siku Mh. Kigwangallah (MB) anafanya maandamano na mkutano ndani ya Jimbo lake la Nzega, na kwa maelezo yake akiungwa mkono na baadhi ya wabunge wanaomuunga mkono katika hoja yake ya msingi iliyomsukuma kufanya maandamano na mkutano. Hata hivyo nimeona kimya...
  17. Ilulu

    Kigwangalla aitwa na kamati ya maadili na maandamano yake kusitishwa na CCM, yeye asisitiza yapo!!

    Pasco umemkuza sanaaaaaaa Dr. Kigwangallah kwa kumfananisha na Mh. Deo Filikunjombe. Si JASIRI kiasi hicho, ila nakubaliana na wewe kwa hoja kuwa uwezekano wa yeye kurudi kwenye kinyang'anyiro 2015 HAUPO na hivyo anaweza kwenda kinyume cha taratibu za chama chake kwani haoni hasara ya matendo...
  18. Ilulu

    M4C yamchanganya akili Waziri na Mbunge Kassim Majaliwa Mnacho Jimboni Ruangwa

    Wa poti Ukana Shilungo, ulijumushila? Nami nimefuatilia nini kinaendelea huko KUSINI, mikoa iliyo nyumba kimaendeleo licha ya kuwa wazalishaji wazuri wa korosho, ufuta na sasa kubarikiwa na neema ya mafuta na gesi. Mfano mdogo tu, Barabara ya KIBITI-LINDI imeanza kuzungumzwa tangu Awamu ya...
  19. Ilulu

    VIVA World Cup - Zanzibar Heroes Yatinga Nusu Fainali

    TIMU ya soka ya Taifa Zanzibar, ‘Zanzibar Heroes', inaongoza katika kundi "B" la michuano ya Kombe la Dunia kwa nchi zisizo wanchama wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), (VIVA World Cup), inayoendelea huo Iraqi Kurdistan. Hii ni baada ya kushinda katika mchezo wa kwanza dhidi ya...
Back
Top Bottom