Search results

  1. B

    Ninapata dalili hizi, je ni tatizo gani hili?

    Dawa hizi: 1. hydroxychloroquine 2. Aspirin 3. Azithromycin 4. Vitamin C 5. Loratadine na 6. colchiheal. Baadhi ya watu ziliwasaidia sana
  2. B

    Utakapojenga nyumba yako usisahau haya...

    Imeandikwa vema sana. Asante sana.
  3. B

    Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

    Ulisoma Benjamin Mkapa? Kisha ukasoma TIA mbeya? Pole sana mkuu. Labda weka AC home.
  4. B

    Afande Sele atashtakiwa kwa kosa gani baada ya kumtukana Mungu?

    afande ni msanii kama Remi Ongala msikize adi mwisho hapa
  5. B

    Afande Sele atashtakiwa kwa kosa gani baada ya kumtukana Mungu?

    mbona Remi Ongala alishasema kuwa habari za mungu sio za kuamini?
  6. B

    Ushauri: Hospitali gani Jijini Dar wanapima Covid-19?

    Ndio, yaani hio ndiyo kama package nzima. Mfamasia atakuandikia jinsi ya kutumia. Katika hizo zingine kutwa Mara 1 zingine Mara 2 etc
  7. B

    Ushauri: Hospitali gani Jijini Dar wanapima Covid-19?

    Nadhani, lakini pia ninaamini dawa hizi kwa pamoja zinadhoofisha kirusi kiasi cha kukosa nguvu ya kudhuru mapafu.
  8. B

    Ushauri: Hospitali gani Jijini Dar wanapima Covid-19?

    Pole mkuu, Mimi nilipatwa na dalili kama hizo. Doc akaniambia ni dalili za covid. Dawa alizonipatia na zilinisaidia tuliambiwa tupate dozi 2 na mke wangu ni: 1. Hidrokloroquin,2. aspirin, 3. athromizing, 4. flagil,5. vitamic c, na 6. dexamethason. Namba 1 & 2 ndio mhimiri mkuu. Kama hutojali...
  9. B

    Serious discussion: Kuna madhara yapi yatatokea endapo ndugu wa damu watazaa pamoja?

    Watoto watazaliwa na udhaifu na ulemavu mbalimbali. Pia kijamii kutakua na madhara sana ndugu kuwa wenza, patakua na wivu baina yao nk
  10. B

    TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

    Ninaweza kuingia katika hio VPN msaada tafadhali.
  11. B

    TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

    Habari mkuu, hebu nielekeze hio VPN inafungua WhatsApp? Ninawezaje kuingia katika VPN?
  12. B

    Peugeot

    Ulipata spare za 504 Peugeot?
  13. B

    Kwa Wahitimu wenye Div. 1 mpaka Div. 3 Kidato cha Nne

    Wanafunzi wenye sifa tajwa au Div. IV ya 34 na kuendelea: 1. Wahitimu sifa tajwa wanaalikwa na Kituo cha Elimu cha Utawala-Hombolo kujiunga na masomo ya mwaka 1. 2. Wakimaliza masomo watapata sifa za kujiunga na elimu ya astashahada katika vyuo vya NACTE. 3. Hii itasaidia wadogo zetu kutobaki...
  14. B

    Naomba msaada wenu asome kozi gani kwa matokeo haya

    Akasome Governance education center hombolo Dodoma. Anasoma kwa mwaka 1 kisha anapata sifa kujiunga na elimu ya certificate nta level 4. Usikate tamaa na huyu asirisiti mtihani bila tija.
  15. B

    Gharama za kuleta bidhaa kutoka China

    Ninahitaka kuagiza sofa seti bei ni M1.2 l, je hii kodi yake itakua bei gani? Bongo zauzwa m3.6 je niagize au bora kununua hapa?
Back
Top Bottom