Search results

  1. C

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Very interesting story
  2. C

    Dependency and independency source of electricity

    Wanajamii naombeni msaada wenu,yeyote ambaye anaejua kuhusu "dependency and independency source of electricity" au ktabu chake anisaidie.pleeze jamani
  3. C

    Kwa wale waliowahi kukutana na bikira

    Ckia,hapo hakuna bikra kaka,mimi nishapgwa kabobo kama hzo nyingi sana afu baadae unamkamata.hyo bnti wako ni mzoefu wa hayo mambo na alipogundua kuwa ww ni mgeni ndo amecheza trick hyo,mnaweza kuingia chumbani akawa analia knoma kumbe kaweka ndimu ambayo hwa inakausha maji yaliyoko ukeni hvyo...
  4. C

    Kwa wale ambao majina yamemiss UDOM

    Kwa wale ambao hawaoni majina yao,hawawezi kudownload form ya usajili,na majina hayo yatawekwa mtandaoni katikati ya wiki ijayo hvyo inabd muwe wavumilivu 2.ukitaka kuona tangazo nenda ALIS utakuta
  5. C

    Joining and fee structure ya saint joseph university in tz

    mimi cjachguliwa hpo bt nilikwenda kumchukulia jamaa yangu,ukitaka kuipata mpaka uende palepale.kama haupo dar inabdi ufanye harakati kwan upo off time
  6. C

    Joining and fee structure ya saint joseph university in tz

    Inakuwa hv 1.tuition fee ni 2,750,000 2.registration fee 20000 3.stationery 100,000 4.id card 10,000 5.refundable cation deposit 50,000 6.annaul medical insurerance 75,000. Kwa jumla zinahtajika 3,005,000 PIA KWA KUONGEZEA USAJILI UTAFANYIKA SJCET CAMPUS TAR 18 SEPTEMBER,kama haupo dar...
  7. C

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Wahenga wanasema hatima ya mvumilivu ni kifo au vita isiyokuwa mwisho,IPO SIKU MAMBO YATABADILIKA NA TUAIKATAA HII NCHI YA AMANI
  8. C

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Tunavyofaham huwa zpo gari special kwa kubebea watuhumiwa,JAMANI NDO TOYOTA LANDCRUISER?bora hata wangechukua hata canter
  9. C

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Katika taarifa ya habari wameonesha jamaa ambaye anatuhumiwa kumuua mtangazaji wa chanel ten DAVID MWANGOSI, amefikishwa mahakamani. Kwa watu ambao wamechunguza kwa makini wakati jamaa akipelekwa kusomewa mashtaka alikuwa amezungukwa na maaskari wengi huku akiwa amezibwa sura asifahamike wala...
  10. C

    Loan application form

    Itabidi uende makao makuu,coz pale kwenye instruction za loan application walisema inabidi kopi ya bandle nzima ya makaratasi ya application pamoja na risiti ya EMS kudhbitsha kuwa ulituma,mbali na hvyo mjomba itakuwa "BAD WORK WITH VERY SORY"
  11. C

    Why UDSM is ranked number 1 , 2 and 3 in TANZANIA

    Kitu cha muhimu ambacho ujfunze kijana ni kwamba,uckariri sana maswala ya darasani kwani kwani unaweza ukawa umesomea udsm na pia ukabaki unaangaika mtaani,KITU CHA MSINGI KWANZA SOMA MAISHA NA IFUATIE ELIMU kwani unaweza ukafaulu darasani ukaja ukafeli maisha.ukae ukijua kwamba ufaulu wa...
  12. C

    msaada kuhusu mkopo

    hivi wanajamii wanposema mkopo umepewa asilimia mia,inamaanisha kuwa maswala yote,acomodation na kila kitu utalipiwa na serikali.JE KUNA HELA NYINGINE AMBAYO UTAPEWA MBALI HIYO YA CHUO?NAOMBA MSAADA NIPATE UELEWA
  13. C

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Na wale walochaguliwa computer engeneering wanapanda daladala za kwenda kitivo gani wapi?na vipi kuhusu kuhusu mavazi NAOMBA UNIFUMBUE MKUU
Back
Top Bottom