Search results

  1. Indume Yene

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Nawaza tu kwa mapana, hivi akitenguliwa Kardinali Pengo ataipimaje ile sala pale ofisini kwa Makonda (Arusha):MonkiFlip:
  2. Indume Yene

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Halafu mke wa huyo injinia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto pale hospitali ya Taifa.
  3. Indume Yene

    Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Sasa sijui anayema kweli hapa ni nani. Huku M/Mwenyekiti Taifa anasema "Chini ya CCM, hakuna mwenye haki ya kukatisha uhai wa mtu mwingine".....huku Mwenyekiti UVCCM Mkoa wa Kagera pia anakuja na yake ya kupoteza watu wengine. Hizi kauli zinatoka ndani ya taasisi moja, sasa nani mkweli?? Kauli...
  4. Indume Yene

    Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    I don't believe if that simu ni original. Kuna vitu vichache can be observed kwenye hilo box utagundua has couple of differences compared to the original one. Muweni makini pale mnapo-claim kuwa ni original. Na consumers muweni makini mnapoletewa items believed to be original. Fanyeni utafiti...
  5. Indume Yene

    Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Mimi binafsi ninaamini Amos Makalla kaondolewa u-RC ili arudi kwenye uenezi. Anaweza kufanya kazi kwa ukaribu na Dr. Nchimbi bila shida. They know each other very closely.
  6. Indume Yene

    Ninapata muwasho sana sehemu ya juu ya maziwa (chuchu)

    Nenda kanunue Sage essential oil, pakaa asubuhi na jioni kwa muda wa siku 3. Kama haitasaidia rudi hapa upewe njia nyingine. Hope that will help.
  7. Indume Yene

    Ipi njia bora ya kuzuia ujauzito kwa Wanawake?

    Mmea wa mzugwa una flush kila kitu out. Baada ya hilo tendo, tumia mzungwa majani yake andaa kama juisi, kunywa glasi 1 kwa siku 3. Lugha ya kisayansi unaitwa Plectranthus barbatus
  8. Indume Yene

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Kuna sehemu nilisoma kuwa; 1. Unasaga majani makavu ya mkomamanga (pomegranate) ili kupata unga. Unakuwa unatumia vijiko 2 kwenye glasi 1 ya maji, kutwa mara 2 kwa muda wa mwezi mmoja bila kukosa au kuruka muda. 2. Saga majani ya tangawizi, changanya na udongo mwekundu (Red clay) kwa uwiano wa...
  9. Indume Yene

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Kwa lugha ya kisayansi inaitwa Euphorbia hirta. Na ni dawa hii hii inamaliza tatizo la ulcers.
  10. Indume Yene

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Angalizo kwa wale wenye Pressure ya kushuka!! Kitunguu swaumu hususha blood pressure, hivyo ni kuwa makini.
  11. Indume Yene

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Tumia mziwaziwa (Asthma plant) kwa kuchemsha majani yake. Tumia kunywa kikombe kimoja asubuhi na jioni for 3 consecutive days....kisha leta mrejesho hapa.
  12. Indume Yene

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Kama una tatizo la Asthma, dawa mujarabu ya tatizo hilo ni mmea huitwao mziwaziwa. Uki-Google (Asthma plant) utaona picha yake. Chemsha majani yale na kunywa kikombe kimoja asubuhi na jioni kwa siku 3-5 hilo tatizo litakuwa limeisha.
  13. Indume Yene

    Zitto Kabwe: Mayanga Construction ni kampuni ya hayati Magufuli!

    Na Masimba ni ya nani kama Mayanga ilikuwa ya mwendazake?
  14. Indume Yene

    Freeman Mbowe akutana na Raila Amolo Odinga

    I thought Odinga ni kiongozi wa chama cha machungwa Orange Democratic Movement (ODM)🤔
  15. Indume Yene

    Nisaidieni jinsi ya kuondoa matangazo kwenye app ya YouTube

    Unaweza kutumia Pure Tuber ila sidhani kama iko Play Store🤭
  16. Indume Yene

    MSAADA: Naomba Call Recorder Nzuri Kwa Simu za Android Wakuu

    Kuna Apps zingine ukifanya recording, zinatuma notification kwa mlengwa wa upande wa pili kuwa simu inarekodiwa.
Back
Top Bottom