Search results

  1. Kipigi

    Bora tukose umeme na Maji kuliko watu kupotea na kuokotwa kwenye Viroba baharini Coco Beach

    Kwani umesahau juzi tu hapa viroba viliokotwa?, au unajisahaulisha tu?
  2. Kipigi

    90% ya wafanyakazi wa Serikali wanapiga soga na story maofisini. Je, tunawalipa mishahara ya bure?

    Kwa vigezo vipi?, Maana kuna viongozi wao, na pia kuna tool maalum za kufuatilia ,kama wanazembea alafu hawaonekani basi kuna maali wenyewe wamelegalega.
  3. Kipigi

    Wafanyakazi poleni sana lakini tija ya kazi ni kama hakuna!

    Imeshawahi kujiuliza kwanini kuna posho kwenye semina, training na vikao mbalimbali?
  4. Kipigi

    Mwigulu anafaa kuwa Rais ajaye

    Mafuta maandishi yenu kwenye mawe na madarajani
  5. Kipigi

    Sikubaliani na pendekezo la Waziri wa Fedha kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa arudishwe kwenye mshahara wake wa awali

    Inawezekana una mshahara huo ,lakini hiyo ni nzuri maana itakufanya uwajibike ili usije kurudi ulikotoka
  6. Kipigi

    Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

    Pumba tupu hapo, mazuri ya JPM hayawezi kufutwa na sababu za kipumbavu.
  7. Kipigi

    Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

    Utateseka na JPM hadi lini?
  8. Kipigi

    Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

    Pamoja na kujikosha huyo mkuu wa wilaya ,lakini alipaswa kwanza kufanya ufuatiliaji na tathmini kabla ya kubomoa
  9. Kipigi

    Katibu Mkuu CCM Taifa, Daniel Chongolo apiga stop "Uchawa" ndani ya UVCCM

    Ilo atakuwa ameongea tu mdomoni kwa maana limemtoka tu, sasa wanakuona wewe mwenyewe chawa ,alafu unawakataza wao wasiwe chawa ,wataishia kukushangaa tu
  10. Kipigi

    Mwigulu unaikumbuka hii kauli yako?

    Tatizo mnakurupuka sana ,subiri tu mwananchi waombe radhi ,taarifa hiyo ni ya uongo
  11. Kipigi

    Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

    Hiyo Magufuli ,mimi sijui kama nitakuja kumsahau , labda nipate matatizo ya akili
  12. Kipigi

    Makamu Mwenyekiti CCM, Mzee Mangula: Bagamoyo tuliahidi kujenga Gati sio Bandari

    Kwakweli , kama Mzee kikwete alisaini mkataba ule ukiwa na masharti Yale , anapaswa kuliomba msamaha taifa
  13. Kipigi

    Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020

    Sio alitabiri alijua kinachoenda kutokea
  14. Kipigi

    CCM mnajua kunivuruga. Niliwapenda, niliwakubali lakini sasa inatosha

    I see najiona sina chama kwa sasa
  15. Kipigi

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Kwa mara ya kwanza naweza kujikuta sipingi kura 2025
  16. Kipigi

    Ukabila waibuka Bungeni, wachaga wadaiwa kuididimiza Lindi na Mtwara

    Ata kama kama kanuni za bunge haziruhusu ,lakini ni ukweli usiopingika kuwa hilo kabila ndio linaongoza kwa wizi hapa nchini, kila mahali ambapo mchaga yupo usitegemee ufanisi zaidi ya kujinufaisha yeye. Mchaga ni mzuri mno kwenye management ya mali zake kuliko mali za umma, yaani lazima aibe...
Back
Top Bottom