Search results

  1. C

    Kanisa Kuu mbadala wa St. Joseph kujengwa Gezaulole, Jimbo Kuu - Dar es Salaam

    https://maps.app.goo.gl/oyh41my7Dy929HWE8
  2. C

    Msaada: Naomba ushauri wa namna ya kutoka kimziki

    Hapo, ni kuwasiliana na watu ambao, kama wewe unavyojaribu kuimba, nao pia wanajaribu au walijaribu kutengeneza muziki. Sio rahisi kukutana na mtaalam kabisa maana hatakua tayari sana kukupa muda wake na resources zake bure. Wapo watu wanaochezacheza au waliochezea DAWs kama cubase, abelton...
  3. C

    Mazoezi ya Ndani: Zoezi la kuruka kamba

    Bas wewe ni kama mimi. Nilikua nafanya jogging pia, lakini bila kujua nimekimbia km ngapi ilikua inaniwia ngumu sana. Kwakweli hiyo arm band haifanyi chochote, maana ni kamkoba tu kenye velcro patches ka kuvaa sehemu ya juu ya mkono na ndani ya hako kamkoba unaweka simu yako. Click hapa uone...
  4. C

    Mazoezi ya Ndani: Zoezi la kuruka kamba

    Tangu nilipogundua umuhimu wa mazoezi kwenye mwendo wa kawaida wa maisha, nimejaribu hili na lile, kuona linalonifaa zaidi. Katika jaribujaribu mara kwa mara nimeongeza vikolezo mbalimbali kwenye mazoezi yangu na kuyaboresha kidogo. Nimeongeza vikolezo hivyo kwa malengo ambayo binafsi nayaona...
  5. C

    Bluetooth keyboard - Logitech K380 kutoka Ali-express

    OXYSPR STATION Store - Amazing prodcuts with exclusive discounts on AliExpress Ila ukisaka kwenye wauzaji wengine ndani ya Aliexpress unaweza kuona bei tofauti tofauti. Wengine wanakua na bei kubwa kwenye kifaa chenyewe na bei ndogo kwenye shipping. wengine wanakua na bei ndogo kwenye kifaa na...
  6. C

    Bluetooth keyboard - Logitech K380 kutoka Ali-express

    Ni shilingi 96,659 za Kitanzania. Kila kitu pamoja na usafiri, hadi inafika.
  7. C

    Bluetooth keyboard - Logitech K380 kutoka Ali-express

    96,659 Tsh Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    Bluetooth keyboard - Logitech K380 kutoka Ali-express

    96,659 Tsh Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    Bluetooth keyboard - Logitech K380 kutoka Ali-express

    Kwa muda nimekua nikisaka bluetooth typing keyboard nzuri, kiasi kwamba nikiingia kwanye maduka ya vifaa hivyo wakiniona tu wananiambia "Keyboards hazipo". Mara nyingine nimejaribu kununua keyboard flan halaf sikuridhika. Kila mara nimewapa challenge kuwa hawaleti keyboard nzuri sokoni. Majibu...
  10. C

    Mfahamu mtunzi mahiri was nyimbo za kikatoliki marehemu John Stephano Mgandu

    Asante sana kwa Post hii. Nilikua nasikiliza muziki wake mahali, nikaona link hii KABILA LANGU
  11. C

    Capella keyboard

    Kuna wanaochora Muziki "Nota" kwa kutumia program inayoitwa capella. Kuna ujanja wa kubadili keyboard kurahisisha uchoraji Yacapella.exe NB: (KUIANZISHA - doubleclick Icon)(KUISITISHA - bonyeza escape "Esc" key)(KUIPOZI -pause "F9"). NI NINI? Script ndogo (1.mb) ya kubadili mpangilio wa...
  12. C

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Umenikumbusha mbali. Nilipanda mlima mwaka 1993 nilikua form four. Wakati huo kulikua na njia ya kupitia msituni, kuanzia Maua, sikuhizi imefungwa njia hiyo. Ilikua shughuli kwelikweli. Tulianza Maua saa mbili asubuhi hadi saa kumi na moja jioni tunaingia Horombo. Hiyo ni siku moja. Na ndio...
  13. C

    Ergonomic Keyboards

    niliyopata ina viscratch lakini sio mbaya sana
  14. C

    Ergonomic Keyboards

    Ila nilizoacha pale sidhani kama zipo kwenye shape sana, pengine hawakua na bidii ya kuangalia zaidi. Lakini nadhani hata ukipita kwenye maduka ya jirani jirani pale zitakuwepo tu
  15. C

    Ergonomic Keyboards

    Ukitokea makutano ya Uhuru na Msimbazi, ukiendelea na Uhuru kwenda makutano ya Uhuru na Congo, maduka ya vifaa vya computer upande wako wa kulia. Naona risiti hapa imeandikwa Juba Computers
  16. C

    Ergonomic Keyboards

    Umewahi kusikia kuhusu ergonomic keyboards? Ni computer keyboards ambazo, funguo zake zimepangwa kwenye muundo tofauti kitaalam kulingana na mwelekeo wa mwili wa mwanadamu. Kwamba computer keyboards zile za kawaida funguo zake zinakua zimepangwa tu kwenye safu zilizo nyooka, na kumfanya...
  17. C

    KUPRINT TOKA KWENYE SMART PHONE

    Asante sana mkuu, ngoja niicheki. Ni mahali pengine pembani ya playstore? au itaniwezesha kupata zile za playstore. Nashukuru sana
  18. C

    KUPRINT TOKA KWENYE SMART PHONE

    Nimefaulu kuprint kwa simu ya Android, moja kwa moja kwenye printer ya LaserJet P1102. Nadhani kwa printer nyingine itawezekana pia. Nimetumia OTG cable Usb AB Cable ya kawiaida ya printer Nimedownload software toka playsotre inayoitwa Printershare click hapa Nikadownload HP printservice...
Back
Top Bottom