Nahitaji mawazo yenu, hapa nilipo nimekuwa mtu wa wasiwasi, sina amani kwa kazi ninayofanya ambayo.
1. Ukikosea kidogo unaitia kampuni hasara kubwa, hivyo inahitaji umakini sana.
2. Uzembe wowote utakaotokea ukiwa kazini basi itapelekea wewe kukaa polisi au kufugwa.
3. Hapa nilipo nina kesi...
Dream yangu ni kuwa na maisha yangu niwe na familia yangu na kuhusu kuchakarika nachakarika sana na kuhusu mtaji WA biashara nilishazungumza na wazazi mzee wangu alishawahi kuni promise atanipa tangu nina miaka 27 kila nikimuulizia ananiambia subili subili nisiwe na haraka atanipatia tangu 2015...
Kiumri nina miaka 31 naelekea 32 kiukweli hapa nilipofikia nataka nianze maisha ya kujitegemea angalau na mimi niwe kwangu kwani umri umekwenda sana nataka nijenge maisha yangu ila sasa changamoto nilionayo ni wazazi
Wamekuwa wagumu kuniruhusu nikapange na nikiwauliza wanadai Bado uwezo WA...
Kutokana hali ya maisha inavyokwenda nimejikuta nataka kufanya kazi ya ualimu nifundishe
Angalau tuition au wanafunzi wa shule ila ningependa kufahamu mambo muhimu ya kuzingatia kama mwalimu
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Mie upande wangu baada ya kumaliza chuo nikiwa sina ajira baada ya kukaa nyumbani zaidi ya miaka mitatu ramani Hazisomi nilichokifanya
Nilimwambia home nataka kusoma tena kuna kozi kama tatu nataka kujifunza kipindi nasoma hela ya chuo niliokuwa napewa kila hela ya chuo nilikuwa nasevu elfu 3...
Ukiona hizo dalili anza kujiengua ndani ya familia ufanye maisha yako kimya kimya hii dunia ina Siri kubwa sana.
Inawezekana wazazi wako wamekugeuza wewe Msukule hivyo unavyoonekana mjinga mjinga hauwezi kitu ktk maisha na ndio wao wanazidi kupata mpunga.
Mimi nina kaka yangu kipindi hana kazi alimpaga mimba binti mmoja hivi
Aliletwa nyumbani akahudumiwa mpaka anajifungua, mzee Aliwapa chumba cha njee wakae bure huku wanajipanga baada ya kupata kibarua broo walihama nyumbani wakaenda kujitegemea hivyo kama home wanakuelewa waambie wakuandalie...
Pole sana mboka man hilo tatizo huwa linawakuta watu wengi sana mtoto wa kike umri wake unapokuwa unaenda alafu hana mtoto, hana ndoa huwa anaanza kuchanganyikiwa na hapo kila akiangalia wenzake wameolewa yeye bado na mwanaume hauleweki ,
Lakini pia upande wa familia na marafiki unakuta tiyali...
Sababu zipo nyingi sana ila sababu kuu mtu amrudie mpenzi wake wa zamani ni tatu
1.sababu ya kwanza amekosa options katika maisha ya mahusiano yaani akiangalia katika wote aliodate nao anaona angalau wewe kidogo una afadhali una mwelekeo
2.sababu ya pili ni kuvunjika kwa penzi jipya yaani...
Nina mpenzi wangu huyo nampenda sana ila sielewi nifanyeje muda wote yee yupo bizee hata muda wa kunitafuta kunipigia anaukosa imefika hatua hata ule muda wa kunitafuta anaukosa.
Nifanyeje jamani hiii hali inaniumiza kweliii hii Hali inaniumiza.
Kuna Msemo usemao katika kila mwanaume mwenye mafanikio nyuma kuna mwanamke sasa hapo ndo pakujiuliza miaka yote ulikuwa wapi kwanini hukujiendeleza mpka umepata mwanamke
Anyway kuliko kulala ni bora upambane ufike mbali kama mwenzio itakusaidia sana huko mbeleni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.