Kwa nini usiseme asipewe kura tena kwa mawazo yake kama hayo aliye yatoa huyo mbunge?Au kwa kuwa ni mfanyabiashara Je ingekuwa hayo mawazo ametoa mbunge mwingine kama alikuwa na kiosk cha pombe ungesema watu wasuse kununua bia au?
Watanzania pia wajue kama wakosoaji ni wale wale, wenye ukosoaji ule ule, wakikabili makosa yale yake kwa namna ile ile wanastahili kupewa nafasi za kukosoa tena?AU watafutwe wakososaji wengine ili tupate watawala wengine?
Wajua Ruaha Nationa Park ipo mkoa gani?
Hifadhi ya Ruaha
Jump to navigationJump to search
Hifadhi ya Ruaha iko katikati ya Tanzania umbali wa kilometa 128 magharibi ya mji wa Iringa. Hifadhi hii ina ukubwa wa kilometa za mraba 1300.
Hifadhi hii ni maarufu kwa wanyama aina ya kudu wakubwa na...
Duuuuuh!!!Watu wengine wa ajabu kweli,hivi kuwekeza nje ya nchi sio uzalendo?Hivi haya makampuni ya Kenya yanaye wekeza Tanzania hayana uzalendo na nchi yao?Unaijua KCB?Kenya Commercial Bank?Wana Matawi Tanzania?Nenda TIC ulizia makampuni yaliye wekeza Tanzania kutoka Kenya?
Mabalozi yote ya...
Pia kuna maskini wengi huchukia matajiri kwa kuhisi umaskini wao umesababishwa na hao matajiri,na kama hutokea tajiri kafisilika au kapatwa janga lolote maskini hufurahikia.
Naona huku watu wanabishana kama vile ni Tanzania tu ndiye iliye pinga Jerusalem kuwa makao makuu ya Israel,Tanzania imekuwa miongoni mwa nchi 128 ,yaani nchi zote hizo mijinga hayana akili ?Iliyo ungana na Mareakni ni nchi 9 tu,walio abstain ni 35,Je ingekuwa uchaguzi kidomokrasia nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.