Search results

  1. S

    HP laptop EliteBook 8440p Inauzwa

    Processor: Intel Core i7 RAM: 6GB Hard Disk: 500GB Display Size: 14" Graphics card: NVIDIA Quadro (RAM 512) USB Ports: 4 Bluetooth: Yes Webcam: Yes (2 Megapixel) Wi-fi: Yes Ethernet Port: Yes Fingerprint Scanner: Yes Card Reader: Yes Location: Dar es salaam. Bei ya kuanzia ni TSh. 560, 000/-...
  2. S

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Kazi nzuri mkuu. Nimeipenda. Mimi kama developer na UI designer kuna vitu ambavyo ningependa uvifanyie kazi: 1. UI ipo kama ya web kitu ambacho kinapunguza user experience. Endapo utahitaji, naweza kukusaidia kutengeneza UI ambayo inafuata design patterns za Android bure (hii ni kukupatia...
  3. S

    Natafuta Stylus ya Samsung Galaxy Note 3

    Kwema wakuu? Naomba kujuzwa wapi napoweza kupata stylus ya galaxy note 3 kwa hapa Dar. Huwa naagiza aliexpress, ila kwa sasa inahitajika kwa haraka kidogo.
  4. S

    Hasara za Kukurupuka! Jinsi ya kudownload nyimbo bure Wasafidotcom

    Tafuta program ya kudownload files kishauwe unaweka zile links unazopata katika program hiyo. Me natumia ADM (Android). Kupata links unaweza kutumia maelekezo yafuatayo (kama yaliyowekwa hayapo clear): 1. Nenda hapa: https://wasafi.objects-us-west-1.dream.io/ 2. Tafuta Neno "uploads" 3. Copy...
  5. S

    Hasara za Kukurupuka! Jinsi ya kudownload nyimbo bure Wasafidotcom

    Well said mkuu. Wengine wanaweza wasikuelewe. Kampuni ya Microsoft ilitangaza dau la $16,000 kwa atakaepata bugs katika OS yao kama njia ya kuhimiza watu kuwasaidia kutafuta bugs.
  6. S

    Maoni Kuhusu App hii ya Android

    Habari zenu wakuu. Napenda kutambulisha kwenu uwepo wa app inayoitwa "Appetite" (inapatikana playstore). App hii inakuwezesha kuandika recipe zako pamoja na kushare hizo recipe. Kwa sasa app ina msaada zaidi kwa wanaopenda kupika au kushare mapishi yao lakini kuna features nyingi zinakuja...
  7. S

    Jifunze Kupika au share Mapishi yako na App hii

    Heshima kwenu brothers and sisters Napenda kutambulisha kwenu app inayoitwa "Appetite" ambayo inakupa uwezo wa kuandika recipe zako (maelekezo ya mapishi) na kushare na watumiaji wengine wa app hii. Kuna features nyingi ambazo tunaendelea kuongeza zitakazofanya app iwe na matumizi mengi zaidi...
  8. S

    Kuweka Huawei na Tecno kwenye kundi moja kiubora ni sahihi?

    Si sahihi kuweka simu za tecno na huawei kundi moja. Huawei ni brand kubwa ambayo ina ushindani mkubwa kwenye baadhi ya masoko kwa makampuni kama apple na Samsung. Mwaka huu huawei wameongoza kwa mauzo china… pia kampuni kama Meizu, Xiomi etc. zinaweka ushindani sokoni lakini sio tecno.
  9. S

    Simu ipi The best kati ya LG G2, HUAWEI G PLAY MINI NA HTC DESIRE 816.

    Ingia www.gsmarena.com, pale utapata maelezo ya kina zaidi kuanzia General performance, battery, display quality na type, gaming info. Mambo chungu nzima. Naitumia sana napotaka maelezo ya kutosha kuhusu simu husika
  10. S

    Tatizo la TV kujibadili rangi naomba msaada

    Kitu kama hicho kimeshawahi kutokea kwenye Tv yetu na chanzo chake kilikuwa ni speaker zilizokuwa karibu na tv. Hivyo kama walivyoshauri wadau wengine, tafuta fundi ambaye sio mzushi akurekebishie kisha ondoa spika karibu na tv yako.
  11. S

    Mobile app developers wa bongo User Interface vipi ?

    Icoderz angalia "Moview" from play store....
  12. S

    Mobile app developers wa bongo User Interface vipi ?

    Kuna developers wanaofanya kazi nzuri pia. Tatizo ni kwamba watanzania wengi katika nyanja mbalimbali wanafanya kazi bila ushirikiano. Mtu anafikiri anaweza kufanya kila kitu peke yake... Which is wrong.
  13. S

    Vodacom Wajanja Night sio unlimited tena

    Mimi nimerudi kwenye LAN, though speed yake sio kubwa sana.
  14. S

    Adobe Acrobat XI pro serial,patch or crack

    Nenda www.kickass.to udownload ile iliyokuwa uploaded na Ching Liu. Uploads zake huwa ni za uhakika sana.
  15. S

    Protect dvd/cd from copying

    Software inaitwa Copy Protect v1.5
  16. S

    Protect dvd/cd from copying

    Software za kuzuia kucopy CD/DVD za movie zipo(Mimi ninayo moja) japokuwa hazizuii kwa 100% mtu kucopy esp. kama ni advanced users. Ila kwa watumiaji wa kawaida, hiyo inaweka ugumu kidogo hivyo kuwafanya wapotezee plan yao ya kucopy. So, bora kutumia software ya kuzuia CD/DVD copying ili...
  17. S

    Simu gani ipo juu ninayoweza kuipata kwa bajeti ya shilingi laki moja

    Kwani hela aliyonayo ni nyingi kiasi cha kumshauri akatoe misaada? Ushauri kama huu wapatie wenye mabilioni ambao wanazitumia hata pale ambapo hakuna ulazima......
  18. S

    You gotta watch this!

    Imekaa vizuri... Kama unaweza, tafuta JetStrike pack ya VC pamoja na Element 3D v1.5... Utaweza kufanya rendering faster na efficiently.
  19. S

    Msaada wa haraka: Tunnel Guru...!!!!

    Kama unahitaji premium services za zbigz at affordable prices check with me through www.tor2idm.blogspot.com
  20. S

    Naombeni msaada jamani

    Nenda kwenye hii link: https://shared.com/89b62npqjl?s=l kisha download hilo file. Ukimaliza kudownload, extract "linkfix_vista.reg" kisha install. Baada ya kuinstall, restart pc yako..... Kama hakutakuwa na mabadiliko, leta feedback....
Back
Top Bottom