Search results

  1. T

    DOKEZO Nimelipia marekebisho ya cheti cha Chuo, huu ni mwezi wa nne sasa, NACTVET wananizungusha tu

    Embu tupe taarifa kamili ya tatizo lako.. hayo mtokea walikosea wao kuandika?
  2. T

    Software Developers msaada

    Habari zenu humu mimi beginner kwenye field hii ya software engineering ninaomba msaada kwa wale senior/experienced software developers.. Ninapata taabu sana kwenye swala zima la ku-initiate project lets say nina idea ya kitu flani nashindwa kujua niazie wapi (assuming ninajua language X)...
  3. T

    Linux special thread

    My favorite command of all time rm -rf *
  4. T

    Msaada kujaza fomu ya HESLB 2016

    Naomba kuuliza kwa mtu ambaye akiresit form 4 index number anaweka ipi ya private candidate au ile aliyomaliza nayo shule
  5. T

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    hebu nifanulie kidogo hapo @njunwa wamavoko yaani umefungulia paypal kwa ip ya tanzania na na una login kwa ip ya nje na umeweza fanya transaction maana paypal kuna system huwa zina monitor location kwa ajili ya maswala ya theft na umeveryfy kwa bank ya tz
  6. T

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    Mimi nachotaka kufanya ni na2mia proxy mfn za usa au uk then natafta vcc online then naithibitisaha paypal yangu hapo nitakuwa nina uwezo wa kusend au kurecieve money as long natumia proxy yangu na kucleare cache zangu kila wakati ili wasinilimit
  7. T

    Hili ndilo daraja kubwa la kutoka Zanzibar hadi Dar es salaam

    Sasa mbona wataweka bifu na bakresa... na project ya kigamboni vp na ule mpango wa kufanya dar kama new york uliishia wapi tanzania kwelli tuna hela
  8. T

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari wakuu samahani kwa usubufu nilikiwa naomba litolewe darasa kidogo juu ya huu mchezo wa Kubet Nimekuwa nipo intrested na online betting naomba tungepata mwongozo kidogo kala hatujaanza kuliwa/kulaa pesa za watuje Je nini maaana ya ODDs nimesikia watu wanasema wanabet mara live ndo nini...
  9. T

    Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

    Hii habari yenyewe kaitoa facebook
  10. T

    MSAADA: Jinsi ya kuunganisha Modem Mbili kwenye Computer moja

    Natumia jamii forum app kwenye smsng galaxy y 6102
  11. T

    Wakuu nauza kanga pamoja na watoto wake.

    Nilidhani unauza khanga za kuvaa pamoja na mvaaji
  12. T

    MSAADA: Jinsi ya kuunganisha Modem Mbili kwenye Computer moja

    Owkei nimenotice something tarehe ya mwanzisha thread inaonyesha 1970 is that possible @C6 Mwl.RCT chief-mkwawa Njunwa wa mavoko
  13. T

    Inatafutwa HUAWEI Y300

    chek pm yako kuna contact yangu
  14. T

    Inatafutwa HUAWEI Y300

    Habari wakuu natafuta simu aina ya huawei y300 mwenye nayo ani pm tufanye biashara budget yangu 120000
  15. T

    Mambo gani upoteza bikra kwa mwanamke?

    wida kwani wewe bikra yako ulipotezaje
  16. T

    Maonyesho ya uwezo JWTZ jana kwa mara ya kwanza,tishio kwa Ukawa au Kagame?

    "ATAKAYE KATAA SERIKALI TATU ALIPULIWE TU" ni wasifu kutoka kwa pinda
  17. T

    Nisaidieni, dushelele yake inaweza kukua tena?

    Ukichungulia tena jaribu kutuwekea na picha ili na sisi tuone
  18. T

    Internet ni project CIA - rusia

    Mimi huwa napendelea mda wote kutumia TOR network ingawa nayo siyo 100% safe huwaga sipendelei ip adress yangu iwe public ktt masite tatizo linakuja nikitaka kulogin katika social networks account nimefungulia ip ya bongo then na login kwa ip ya nje hapo account yangu huwa wana issaspend.
Back
Top Bottom