Search results

  1. K

    Miss Tandale 2014

    mimi kichwa changu hakina uwezo wa kukremu.
  2. K

    Nampongeza JK kuwapa wasomi practical Experience,Ila Muhongo anaweza haribu hii spirit.

    Kama huna hoja ya kuchangia si ukae kimya kwani lazima uzungumzie uislaam wewe MATOLA=Tobo la Mama yako.
  3. K

    This is for ladies

    mkuu badilisha heading kinyume chake inafaa zaidi.
  4. K

    Kwa Prof huyu sikushangazwa na hili...Mbona mengine haya hapa hamkuyasema?

    mleta mada ulianza vizuri ila kuna sehemu umeteleza na kudumbukia kwenye shimo lenye kina kirefu tena limejaa mavi ya ng'ombe.
  5. K

    KOVA: Mhe. Kapuya HANA Kosa la kuojiwa ni mambo yake binafsi

    mkuu Tantawi usijaribu kabisa kile unachokusudia kwani kijamii na kisheria ni kosa kubwa sna.kuhusu Kapuya tunaomba vyomba vya Dolla vifanye uchunguzi wa kina na ikidhibitika bila ya shaka yeyote kuwa alifanya hivyo basi sheria ichukue mkondo wake.
  6. K

    Picha: Rais Kikwete akipongezwa na Dorcas Membe baada ya kuhutubia UN; Entourage to UN ilikuwa kubwa

    Kwa akili ya DR.SLAA anaweza kukubali tafadhali usimwambie.
  7. K

    Baridi la Mbeya

    Hapo kwenye msitu nina ka historia fulani na ka bint fulani du umenikumbusha.
  8. K

    Wizara ya Elimu Wasaidieni Wanafunzi Mzumbe Wanateseka Sana!!

    We Le mutuz hapo kwenye rangi nyekundu siku nyingine uwe makini ili uendane na jina la Baba yako vinginenyo wewe utabaki kuwa mbulula tu.
  9. K

    Ushauri wangu serikali ingejenga kituo cha mabasi Bunju B badala ya Boko

    naunga mkono hoja yako pia kituo cha mbasi yaendayo mikoa ya kati na nyanda za juu kusini kijengwe kiluvya kuna eneo kubwa sna lipo wazi halijajengwa na lipo karibu tu na barabara kuu.
  10. K

    Nakubaliana na Qaresi kuwa Tanzania haina Dira na Mwelekeo na pia Marais washtakiwe

    Si huyu aliwatukana wananchi wa Mbeya kipindi kile cha mafuriko
  11. K

    Nauza Gari Bei Nzuri!

    ningefanya biashara nawe ila nilipoona tu by mchaga nimeshituka ndugu yangu ila samahani kwa hilo
  12. K

    Huyu ni power nani?

    Itabidi kinyesi kiende likizo kwanza ndo nifanye hivyo.
  13. K

    Mwigulu Nchemba umepiga msumali wa moto,CHADEMA wanajitetea na DRV na CCTV

    Ikidhihirika bila shaka kwamba viongozi wa chadema/ccm walipanga na kulipua bomu kisha kuua watu wasikuwa na hatia ilimradi wao wapate umaarufu wa kisiasa wanatakiwa wahukumiwe kunyongwa mpaka wafe.
  14. K

    Wanga Bado Wapo

    Mkuu umenikumbusha mbali usemi huu upo kwenye hesabu za function na relation tulikuwa tunasema ''all Sangas are Kingas but not all Kingas are Sangas.
  15. K

    Hapa ndipo alipojikwaa Mheshimiwa James Francis Mbatia (Mb)

    Mkuu hesabu hii ndo inatumika siku hizi na wafanyakazi wengi wa serikalini kwa mwezi mshahara 200,000. ila matumizi yake kwa mwezi 1,000,000. na hana mradi wowote wa kuingiza kipato cha ziada sasa hapo ni hesabu ipi inayofaa kufundishwa?
  16. K

    Tazama picha na linganisha na kauli ya Nchemba kuwa elimu nchini imekuwa!

    Tanzania naishudia toka miaka ya 70-80-90-20-2'1--kweli Mwingulu hujakosea tumetoka mbali.
  17. K

    Busara zaidi sio nguvu

    Kila mla cha mwenzio na chake huliwa.
  18. K

    Mahakama zetu na sintofahamu ya matukio ya UDOM

    Futeni kesi mahakamani halafu nendeni mkae na uongozi wa chuo hasa VC wa chuo naamini anauwezo wa kuwashawishi seneti ya chuo iwarudishe ili mmalizie masomo yenu poleni sana nami yaliwahi kunikuta nikafanya kama nilivyowashauri.
  19. K

    Hapa kuna safari au tunataniana?

    nimekumbuka siku zile lorry la mnada linapotinga kijijini kwetu.
Back
Top Bottom