Search results

  1. cheupe sr

    Mke / mwanamke inakuhusu ujumbe huu,tafadhal usome

    Waaoo thats very true.. me I respect my King much much much more.. n I love him too...
  2. cheupe sr

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Uvivu bwana.. we suri sentensi zako zote mbili umevuruga utaratibu loh.. sa sijui ni uvivu au uzembe...
  3. cheupe sr

    Hii ni special kwa wanaume hasa walio katika ndoa.....

    Kumbuka hapa hatuzungumzii pesa hata kidogo. Tunazungumzia mapenzi ya dhati, na caring ya mwanamke wala sio lazima pesa na hizo zawadi lukuki.. ni the way unavyo mtreat na kumjali.. that's it.. Hapa sio mambo ya kuitana baby, au ooh sweet, hapana. Hivyo vinajulikana vipo tu na mtu pia anaweza...
  4. cheupe sr

    Hii ni special kwa wanaume hasa walio katika ndoa.....

    Nashukuru kaunga kwa mchango wako wa dhamani kubwa, lakini labda nikwambie mambo mawili , kwanza mshukuru Mungu kwa huyo uliyekuwa naye kukuonyesha mapenzi ya dhati na umuombee asibadilike maana maisha huwa yanabadilika kila uchao. Pili kama unakumbuka vizuri nimezungumzia wanaume asilimia...
  5. cheupe sr

    Hii ni special kwa wanaume hasa walio katika ndoa.....

    Ni kitambo sasa nimekuwa nawaza hivi inakuaje mwanamke anaweza kutoka nje ya ndoa wakati mume ulimpenda mwenyewe na mkakubaliana kwa moyo kabisa kuishi pamoja kama mume na mke.. that means umemkubali kwa kila kitu...Kwa wewe mwanaume ambaye umeoa na mkeo anakuonyesha mapenzi yote na kukupa na...
  6. cheupe sr

    Nisaidieni jamani, huyu mke wa namna gani?

    Mmmh mi kwa mtazamo wangu ni kama unamwingilia sana majukumu yake may be.. kwa mfano kufanya shopping it depends mlivyokubaliana, ila sio lazima muongozane, mwachie yeye kama ni kumpa hela mpe kutokana na budget iliyopo then mwachie. kuhusu housegirl. ni makosa makubwa baba kuingilia mambo ya...
  7. cheupe sr

    Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

    Mmmh ndo maana Mungu sio athumani... ingekuwa hivyo wengi wasingeolewa...
  8. cheupe sr

    Aaaaaaaaag ndoa hii imekua kero........usalitu wachungulia ndani

    Aende kwa daktari bingwa wa wanawake sio Dr wa kawaida. tena kwenye hospitali kubwa kama mhmbili au ma daktari wa muhimbili awatafute. na akipimwa akaambiwa hamna shida ni mshono tu kweli, basi itakua ni mambo ya kiswazi hayo keshafanyiwa maana kuzaa kwa operation kama hamna shida yoyote hata...
  9. cheupe sr

    Niliambukizwa HIV na mtu niliyemwamini!

    Pole sana ndugu kwa kweli inasikitisha sana. Ila there is still hope. na maisha yanasonga, usikate tamaa. Hongera kwa kuwa mwaminifu kwa muumba wako na kwa jamii nzima. Hakika Mungu atakulipa hata kama si hapa ni huko tuendako sote..
  10. cheupe sr

    Mwanamke, nashidwa kumuelewa

    Wanaume wajitume zaidi kwa wenzi wao na kuongeza care. That's it!!!
  11. cheupe sr

    Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

    " Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia,"Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe,lakini wewe utondolee aibu yetu,utunusuru tuitwe kwa jina lako." Si maneno yangu bali ni nukuhu za kutoka ISAYA 4:1. Mungu atusaidie maana yaliyoandikwa ndio yanatimia sasa..
  12. cheupe sr

    nipepo kaniingia au nn?

    Umejiroga mwenyewe mamaa na kamwe huta banduka hapo mpk kifo kitakapo kutenganisha na foleni ya NMB.... Jitambue..
  13. cheupe sr

    We mwanamke inakuwaje unatandikiwa kitanda?

    Mimi kwa mtazamo wangu naona chumbani kwangu na mume wangu ni sehemu nyeti sana , na hasa ukiingaia sasa hivi mambo yameharibika sana ma HG wamekuwa hawaaminiki tena. so sitaki nimpe nafasi ya kunijua zaidi mpk chumbani kwangu. Nop. Na hata mume wangu anajua hilo. Nashukuru Mungu sijawahi pata...
  14. cheupe sr

    We mwanamke inakuwaje unatandikiwa kitanda?

    loo hii ya leo kali, mi ninajirani yangu mmoja sikumoja nimempa lift katika masoga akaropoka kua yeye kitanda kinatandikwa weekend kwa weekend!! loo nilichokaje??? yeye huyo mdada huwa tunawahi sana kuondoka huko tunako kaa kwaajili ya foleni za mjini.. saa kumi na moja na nusu tuka brbrni.. na...
  15. cheupe sr

    mwanamke soma hapa

    My God, you are not normal.. Mungu akusaidie mdogo wangu ili utulie.. hali mbaya sasa ivi na pia sio sifa kutembea na wanaumw wengi.. lloh
  16. cheupe sr

    penzi la shemeji

    Mmmh makubwa.. haya utajengea wangapi ndugu.. hiyo sio solution bali unaukaribisha umaskini bila kujijua..
  17. cheupe sr

    Sioneshi kama nina nina wivu mwenzenu

    Raha ya pendo shurti ka wivu kidogo, sawa unamwamini, but you should show her kwamba una jelous nae a bit ndo inanoga.
  18. cheupe sr

    Hivi huyu mwanaume anatumia akili au makamasi kufikiri?

    Yaani wanawake tunamzigo jamani, Mungu atuhurumie kwa kweli.
Back
Top Bottom