Search results

  1. Firewall

    Gear box oil ya pajero mini (snoopy edition)

    Mwaka wa gari: 2002 Transmission: Automatic
  2. Firewall

    Gear box oil ya pajero mini (snoopy edition)

    Habari, Naomba kujua ni gear box oil gani ni kwa ajili ya pajero mini snoopy edition. Nataka nibadili ila deep stick haijaandikwa chochote. Msaada kwa ushauri au source ambayo naweza pata uhakika. Ahsante
  3. Firewall

    Wauza smartphone tukutane hapa

    SAMSUNG GALAXY S8 FOR SALE MODEL: SAMSUNG GALAXY S8 ROM: 64GB RAM: 4GB STATUS: USED IN A VERY GOOD CONDITION ACCESSORIES: CHARGER PRICE: 470,000/= CONTACTS: 0768366676 LOCATION: DSM
  4. Firewall

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Smartphone for sale MODEL: SAMSUNG GALAXY A02 ROM: 32GB RAM: 2GB STATUS: BRAND NEW, BOXED, SEALED DUAL SIM PRICE: 250,000/= CONTACTS: 0786970886 LOCATION: DSM
  5. Firewall

    Msaada kuhusu Autocom Japan

    Autocom wako vizuri mkuu. Nshaagiza gari mara mbili kutoka kwao. Gari zao zipo kwenye hali nzuri na bei zao ni nafuu kulinganisha na makampuni kadhaa maarufu ya Japan. Kwa urahisi wacheck ofisi zao mtaa wa Samora pale.
  6. Firewall

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Phone: Samsung A10s Price: TZS 300,000/= Condition: Mpya, full boxed, sealed Location: Sinza Contact: 0786970886
  7. Firewall

    Nyimbo za Tenzi za Rohoni kwa namba na jina

    Tenzi za Rohoni | Home
  8. Firewall

    SOFTWARE Tunatengeneza web applications (websites & systems), Domain & Web hosting kwa bei nafuu.

    Flexcodes Web Services Tunatengeneza: Web applications za aina zote (Personal & corporate websites, e-commerce sites, systems etc..) Web hosting Domain name registration SEO (Search Engine Optimization) Android applications Graphics design Email: flexcodestz@gmail.com Wasiliana nasi: +255...
  9. Firewall

    Flexcodes Software Services

    Tunatengeneza websites kwa ajili ya kampuni, taasisi za elimu na taasisi nyingine.. Wasiliana nasi!
  10. Firewall

    Flexcodes Software Services

    FLEXCODES is a full service digital agency dealing with • Web development (websites, Shopping carts, school, hospital, inventory management systems and all kind of systems according to user specifications) • Mobile Applications • SEO (search engine optimization) • Online advertisements •...
  11. Firewall

    Forums mpya kwa ajili ya discussions za kitaaluma na kijamii

    Ndiyo lengo hasa la forums hizi, kuwezesha watu kushare skills katika taaluma zao kwa kutumia formal na informal knowlege walizopata mashuleni, vyuoni na katika maeneo ya kazi.
  12. Firewall

    Forums mpya kwa ajili ya discussions za kitaaluma na kijamii

    Ntajitahidi kuboresha mkuu, ndo maana nilileta hapa ili nipate michango kama hii.
  13. Firewall

    Forums mpya kwa ajili ya discussions za kitaaluma na kijamii

    Thanks kwa mchango, litafanyiwa kazi
  14. Firewall

    Forums mpya kwa ajili ya discussions za kitaaluma na kijamii

    Mkuu niwie radhi kama hayo maneno yamekukwaza. Lakini kwenye maelezo hapo juu kuna sehemu nimeandika "TaalumaForums inalenga wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu, wakufunzi (teachers & lecturers), wanataaluma wengine, wapenda knowledge kwa ujumla pamoja na watu wa rika zote. So hata wazee...
  15. Firewall

    Forums mpya kwa ajili ya discussions za kitaaluma na kijamii

    Mkuu mbona ipo responsive kwa mobile devices. Umejaribu kubrowse kwa mobile? Hata hivyo by kesho TaalumaForums itaanza patikana kupitia Tapatalk app kwa wale watumiaji, na ntatoa update kuptia uzi huu huu. Karibu
  16. Firewall

    Forums mpya kwa ajili ya discussions za kitaaluma na kijamii

    Thanks mkuu, hiyo ya kitu kua above criticism nilikua naifahamu, nlkua sijaelewa amemaanisha nini kutokana na hii post. Au umemwelewaje mkuu?
  17. Firewall

    Forums mpya kwa ajili ya discussions za kitaaluma na kijamii

    Clarification..?!! :dizzy::dizzy::dizzy:
Back
Top Bottom