Search results

  1. P

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Kilbark Mbona unajibu kwa emotions? Nimeuliza maswali mepesi ili niweze kuchangia katika mjadala. Kwa kuwa wewe si mtoto wa kindergarden, naomba unijibu: Je Dr Dau ni dini gani? Je Dr Dau ni kabila gani? Au wewe dini yako ni tofauti na ile ya Dr Dau? Jibu Hoja please!
  2. P

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    JF Jamani naomba nisaidiwe ili nami nichangie mjadala wa Udini na Ukabila wa Dr Dau. Hivi Dr Dau ni dini gani? Kabila yake ni ipi? Nimekwenda kwenye web site ya NSSF haikunisaidia sana. Wamesema tu kuwa jina lake ni Ramadhani lakini wapo Ramadhani Wakristo kama vile Jaji Mkuu wetu...
  3. P

    Waziri KAPUYA na bendi yake

    Wacheni chuki. Wangapi wana bendi mbona hamsemi? Ntawashukia mimi nyinyi shauri yenu. Nadhani bora nianze kuwapitua memba wa JF mmoja baada mwingine ndiyo mtajua popobawa maana yake nini. Nikimaliza bungeni next stop ni JF KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI MAPINDUZI DAIMA!!!!!!
  4. P

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Waungwana [and of course bila kuwasahau na Watwana] Acheni uhanisi. Ntaanza kazi yangu. Au mmenisahau? Tena mara hii nataka nianzie bungeni kwa Waheshimiwa wa CHADEMA. Kwa siku nipate kama majimbo 5. . . . . Waheshimiwa wakiamka asubuhi wajikute wameloa heavy!!! Kwi kwi kwi Kidari...
Back
Top Bottom