Wakikuta namba zimefutika utatakiwa kununua mpya. Hizo namba za magari zipo kisheria. Na ndani ya sheria hakuna masuala ya 3D. Huwezi kuvunja sheria halafu unauliza maswali. Kama baada ya kutoa zimefutika kanunue plate number mpya.
Hospitali binafsi ziache uhuni. Kimsingi serikali yenye ndio ilianza kudekeza haya mambo baada ya wakwepa kodi wa kariakoo kutishia kufunga maduka. Ikamlazimu waziri mkuu kusimama masaa kadhaa akiwasikiliza. Wakatoa madai yaonwaendelee kukwepa kodi.
Madawa yameteremka bei kutokana na sababu...
Nimewataja hao waheshimiwa wabunge wetu. Naheshimu ubunge wao. Lakini baadhi ya maneno yatokayo midomoni mwao yanaleta ukakasi.
1. Mtu atakuwaje mwalimu wa biashara wakati hana hata kiosk. Huu ni upotoshaji. Elimu ilianza bila kuandika mahali pppote. Maandishi yalippanza elimu ile ikaanza...
Inawezekana malalamiko ya kuibiwa yameripotiwa. Hivyo wanakusaidia kulinda hela zako. Nakumbuka kuna wakati ilikuwa inawezekana kulipia malipo ya serikali kwa online payments crdb
Baadaye wakaacha baada ya malalamiko ya wizi kuwa mengi.
Miaka ya nyuma sana. Baada ya vita ya Uganda. Kulikuwa na Jenerali Silas Mayunga. Akapelekwa kuwa Balozi Nigeria. Mseveni akaenda ziara Nigeria. Alipokuwa anawasalimia mabalozi hakuamini kumkuta Mayunga kule. Akamruka kumsalimia. Mayunga akaumia.
Baadaye akamwita wakakaa muda mrefu akimuuliza...
Maamuzi ya ukubwa wa msiba ule yako chini ya rais. Huo msiba umefanya kisiasa. Ndio maana shughuli nzima imefanyika kiserikali serikali. Wakati wote serikali na chama hakuna mahali wananchi walipewa nafasi ya maana.
Mnakumbuka Mengi alipokufa. Wananchi walikimbia njia nzima wakiusindikiza...
Uagizaji na usambazajinwa sukari una siri kubwa sana. Ni sawa kabisa na uagizaji wa mafuta. Kuna network ya walaji hapo kati huwezi amini. Ndio maana huwezi kwenda kichwa kichwa kununua sikari kiwandani. Na hutakaa usikie tangazo la kuomba mfanyabiashara awe msambazaji wa sukari. Gharama ya...
Nakupa mfano mmoja ili uelewe ninachosema. Uwanja wa Uhuru una uwezo wa kujaza watu 20,000. Serikali iliposema inajengs uwanja wa Mkapa wa watu 60,000 nilijiuliza watu watatoka wapi. Cha ajabu umejengwa, watu wanajaa.
Hilo bwawa la JNHEPP likianza kazi kwa kutoa mw 2300 wanazosema. Tusishangaa...
Wanaweza kuwa waongo lakini sema tu tofauti ya umri itamfanya isiwezekane. Wanasiasa hutengenezwa. Ndio maana unaona watoto wa viongozi ni wabunge na wengine mawaziri. Ni kwa sababu wako karibu na wazazi wao, kubebwa hata baada ya wazazi wa kufariki n.k. Mpango kasema hayo akiwepo, lakini...
Wanzagi na ukoo wa Nyerere walikuwa machifu Watiama wa Butiama. Wazanani walikuwa na machifu wengi. Wako kama walivyo wachaga. Hakuna chifu mmoja wa wachaga.
Wewe Yeriko Nyerere, hata ukiwa Rais na ukanda serikali lazima utaipinga tu serikali yako uliyoiunda. Kama Lisu, hata akiunda serikali ataipinga tu serikali.
Fimbo za nini mjini? Kule tarime wakurya walikuwa wanatembea na sime, rungu na mapanga yakawa yanahatarisha amani. Serikali ikaona hapana...
Kwenye deni ni kulipa. Ila kama umechelewa masharti ni wao kukuongezea tozo na kukufungia usidai tena.
Mie wamewahi kunitumia tangazo la uongo kuwa natafutwa na polisi oystebay. Na mimi ikachakata wakaona niko polisi oysterbay. Na niko na fulani pale. Wakakaa kimya mpaka nilipolipa.
Huwa...
Nadhani hapo kuna dhana kuhusu matumizi ya muda. Fikra kichwani ni matumizi mabovu ya muda. Ndio kinachowatesa watu. Lakini hebu tuangalie haya.
Una kazi umemaliza kazi saa 11. U akimbia kwenda kwenye kaduka kako, kanafunga saa 4 usiku. Unaaza kupiga hesabu zi balance saa nzima. Je, utarudi saa...
Naungana na wewe na kusisitiza yafuatayo. Vijana wa sasa hata waze tunatakiwa kubadilika. Kujenga majumba makubwa sio ufahari. Mwisho wake huwa hayatumiki. Nenda mbezi beach kuna mijengo inaota nyasi na kupangishwa kwa hela ndogo ili walao kuwe na watu ndani.
Kama kweli katumia 1.2bn (ingawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.