Search results

  1. T

    Teknolojia ya Vijidudu Vidogo Vidogo (Effective Microorganisms) Kwenye Kilimo, Ufugaji na Samaki

    Utangulizi EM.1®️ ni teknolojia iliyogunduliwa nchini Japan miaka ya 80. Imesajiliwa Tanzania na Kampuni ya Feedpro EMAx Limited mwaka 2018. EM ni kifupisho cha Effective microorganisms ambao ni mfumo wa vijidudu hai, salama kwa binadamu. Hii teknolojia inatumika kwenye nchi zaidi ya 110...
  2. T

    Press Release TRA kuhusu VAT

    Hilo tangazo haliendi sawa na VAT inavyochajiwa. Huu hapa ni ufafanuzi sahihi na nimesha experience mabadiliko haya kwenye benki yangu. Kama ulikuwa unakatwa shs 1,000 sasa utakatwa kama ifuatavyo: Makato ya 1,000 hayatabadilika kwa benki. 1,000 = (100% -Vat rate *18%*.) 100%=1,000/82% =...
  3. T

    Gari linauzwa: Suzuki Escudo

    Asante Blade.. Ni Auto. Check your PM nimekutumia pia details nyingine. Thank you.
  4. T

    Gari linauzwa: Suzuki Escudo

    Mimi nauza gari siuzi sura ya gari. PM me if you need pictures and if you are serious buyer. Wakati mwingine inabidi tuokoe bandwidth za JF. Namba nilikosea samahani. Nime ku PM namba ni 0756 446 468. Naona sikukuu ni nyingi Bongo wengine tulishafuta. Thank you
  5. T

    Gari linauzwa: Suzuki Escudo

    Gari inauzwa aina ya Suzuki Escudo milango mitatu. Ina usajili T991 ADQ Mwaka: 1993 Iliingia Tanzania kutoka Japan 2004 na imetembea kilometa zipatazo 130,000. Ipo katika hali nzuri sana na imekuwa inafanyiwa maintenance kila baada ya km 3,000 na rekodi za maintanance zipo. Bei ni...
  6. T

    Kenyan's--They are clever

    Umenena vema If you have some time visit acme people search This is another Ponzi Game.. watch out.
  7. T

    Benki Kuu Iwamulike akina Madoff wa TANZANIA

    Jamani kama tunaweza kufahamishwa hiyo DECI ni nini na inamilikiwa na nani. Ina wafanyakazi wangapi na kuwa wanaivest wapi. Nadhali kwenye hili jamvi wapo wanahabari wengi wanaweza kufanya uchunguzi Watanzania tukapata kuhabarishwa. Napenda tu kusema kuwa the fact kwamba financial institutions...
  8. T

    Listening Audio Booth:John Malecela: Alichoongea

    Naona fikra za mzee ni CCM tu hakuna cha wananchi. Mkuu Invisible hiyo audio naona kama haijafika kwisho kwa sababu imekatikia wakati anaelezea safari za Raisi Marekani na Mkutano wa IMF Dar.... Unaweza kuweka part 2 tukasikiliza na maswali aliyoulizwa na wanahabari? Thank You!
  9. T

    Kiwanda cha magari tanzania

    Mimi hawa watu wa nyumbu siwaelewi kabisa wanachofanya. Naona siasa siasa nyingi tu. Watoe data walipata kiasi gani cha hela wametengeneza magari mangapi na mipango yao ni ipi kwa siku za mbele walipa kodi tujue. Unajua kwa nchi nyingine kama Japani na Marekani vipuri vinatengenezwa na...
  10. T

    JamiiForums Advert Competition

    Mzee kazi nzuri.. Nina wazo kidogo. Kama unaweza kufanya pia ikawa inasomeka kwa Kiswahili kwenye maneno ambayo yanaonekana kwa kiingereza. Kumbuka kuangalia tunatarget watu ambao wataangalia television za kiswahili pia. Vile vile kama unaweza kuweka background ya JF web labda mwishoni pale...
  11. T

    shangazi kaingia

    Karibu Shangazi lao. Mkulima kosa halisahihishwi na kosa.
  12. T

    Natafuta Massey ferguson tractor.

    Asante Mzee na mimi nilikuwa natafuta trekta at least nimepata mwanga. Nataka nikalime ma-tango. Anayetaka kujoin my move anitumie PM.
  13. T

    Look at Kenyans Murdering Each Other!

    Hii video ni mbaya sana, lakini pengine ndio hali halisi ya kuua albinona iliyowakumba bibi wenye macho mekundu kule Shinyanga miaka ya karibuni huku Bongo ingawaje bado hatujapata live video yake kama hii. Sasa hii inatupa mwanga how serious matters can be. Sasa nchi ina sheria, vijini na...
  14. T

    Bin Laden aongea kuhusu Somalia

    Watu wengi hawajui kuwa Osama ni propaganda za Wamarekani hasa Bush na utawala wake. If you have time watch this http://www.afrovideo.org/play.php?vid=382 It will teach you a lot of lessons...it is long. If it doesnt work search You Tube "Zeitgest movie"
  15. T

    How to Check Multiple Email Addresses for New Mail At Once

    Thanks..nilidownload Zimbra sikuza nyuma lakini inaonekana ipo kwenye beta version kwa hiyo ilikuwa na complications nyingi sana. Niliachana nayo. Lakini uzuri wake wanasema kuwa unaweza kuandika na kuaccess mails bila hata ya internet...almost like outlook.
  16. T

    Hongera Pinda na samahani! ulikuwa sahihi!

    Nafikiri wanaanza kutekeleza sasa... sijui tutafika wapi baada ya hili. Yangu macho na masikio..
  17. T

    BoT hit by another mysterious cash loss

    yaani wizi wa kalamu umeonekana ni motto sasa wanaziiba physically...duuuh
  18. T

    Hoteli ya Mgonja? Parrot Hotel

    Hilo jengo nililiona Arusha kwa mara ya kwanza nikashangaa litakuwa na ghorofa ngapi kwa sababu lilikuwa linaenda juu tu. Halafu nikashangaa jengo kubwa namna hiyo mbona limejengwa kwenye kiwanja kidogo tu? lakini nafikiri limesimama muda mrefu na nilisikia wanasema eti linahusishwa na EPA sijui...
  19. T

    Tafadhali nisaidieni hesabu hii

    Mwanzo walitoa 30,000. Hiyo ni hesabu tunaifanyia accounting kwanza. Chumba 25,000/- Baki 5,000. Then wakarudishiwa alfu 3. Zikabaki alfu 2 kwa mhudumu. Jumla 30,000. Accounting Na.2 Kila mmoja ametoa 9,000 x 3 = 27,000. Chumba ni Tshs 25,000 + Mhudumu anayo 2,000 = Jumla ni 27,000. Hakuna...
  20. T

    Mikopo ya haraka inapatikana

    Tunataka kujua pia na interest na mambo ya namna hiyo. Isije ikawa kama kampuni moja iliyokwisha kujadiliwa kuwa inawaumiza walimu kwa mikopo ya haraka haraka
Back
Top Bottom