Rejea hoja yako ya awali kuhusiana na fedha zinazotumika kwenye uchaguzi. Hapo ndio nasema kwamba uchaguzi lazima ufanyike kwa gharama yoyote. Hili ni swala la kikatiba kupata wawakilishi wa wananchi. Luge na mwenzake Seth ni mojawapo ya watu wanaoendelea kuwajibishwa kwa uhujumu uchumi.
Hoja ya chaguzi sio ya msingi. Hilo ni jambo la kikatiba lazima chaguzi zifanyike. Swala la Escrow nadhani unakubaliana kabisa kwamba juhudi za Mh Rais za kuwawajibisha mafisadi zina lengo la kutatua changamoto hii ya wahujumu uchumi nchini.Kazi bado inaendelea kwahiyo ondoa hofu. Hakuna fisadi...
Jambo la msingi ni kwamba tunatakiwa kuzingatia maslahi ya Taifa kwanza kama wao wanavyoweza kutumia kila wawezalo kutetea maslahi ya mataifa yao. Tusikubali kuyumbishwa pale tunapofanya jambo lenye maslahi mapana kwa nchi.
Juhudi za Serikali ya awamu ya Tano katika kupambana na Ufisadi huwezi kuzifananisha na awamu zilizopita. Wahujumu uchumi sasa wanashughulikiwa, rasilimali za nchi sasa zinalindwa zaidi kuliko awali zilizopita na zinaanza kuwanufaisha wananchi wanyonge. Hili ndilo jambo la msingi, maslahi ya...
Sina uhakika na hiyo hoja.Lakini nadhani kutoa fedha mfuko wako wa kushoto na kuweka mfuko wako wa kulia hakuna athari yoyote. Bado zote ni pesa zako, yaani hazijatoka nje ya umiliki wako. Inakuwa shida pale inapohama umiliki, pale unapoipeleka ughaibuni kuhifadhiwa ama kuendeleza uchumi wa...
Uamuzi wa Bunge la Ujerumani juu ya Mradi wa Serikali ya Tanzania wa Stigler ni mojawapo tu ya vita vya kiuchumi ambavyo Mh Rais Magufuli husema kila siku.
Hawa jamaa katika historia ya maendeleo yao wamefanya na wanaendelea kufanya mambo ya unyonyaji, unyanyasaji, ukandamizaji, uporaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.