Search results

  1. mayounger

    Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

    Na sijui kwanini alitangaza, si angewasurprise tu. Unampa mtu taarifa kuwa umetuma mashambulizi kwake na unampa masaa ya kutosha hivyo!!!, hawako sawa Iran, labda kama wanamaanisha kitu kingine ila sio nia ya kushambulia/kulipa kisasi.
  2. mayounger

    Unaenda katika nyumba za ibada ili ufaidike na nini?

    Mkuu una uhakika wa kufika uzeeni sasa? 😂
  3. mayounger

    Unaenda katika nyumba za ibada ili ufaidike na nini?

    Em usitafute mali mkuu kama kweli unamaanisha, alaf uone..
  4. mayounger

    Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    😂😂😂 Shkamoo kaka NASA, watu wamefukua makaburi
  5. mayounger

    M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Sio Moja, zipo kibao izo nyuzi..
  6. mayounger

    Rais Samia ammiminia sifa Makonda kwa uchapakazi wake

    Lucas Mwashambwa umeshapata teuzi Kimya Kimya Nini, maana naona huweki namba ya simu sasa..
  7. mayounger

    Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

    Wewe unategemea mafuta ya wapi mkuu?
  8. mayounger

    Treni Mchongoko yawasili nchini

    True alafu this is 2024 speed ya kawaida tu iyo
Back
Top Bottom