Search results

  1. A

    Walichosema CUF - Nyaraka

    Subirini waje na hoja yao wakiongozwa na Makamba na Babu yetu...... Kama unativii yako izime tu la sivyo utajikuta unatamani kuua mtu buree.
  2. A

    Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

    Sure nilivyoona ni post ya GT nikajua kuna ukweli. Nadhani inabidi yeye mwenyewe aje atuambie vinginevyo. Shy yupo wapi leo?
  3. A

    Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

    Nafikiri kwa wale tulioahid hatutalala leo tulale sasa maana hamna jipya tena kwenye hii.
  4. A

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Hako ka shy sio kashushushu wala nini. Ni mzembe mmoja tu aliye na access na internet halaf hajui cha kuifanyia. Nahitaji 1 mo week kumtuliza, sasa hivi nafuatilia nyendo zake nilianza kipindi kile cha vurugu UDSM
  5. A

    Mkapa above the law?: Allegations

    hawa kenge mwaka huu tutawachuna ngozi, wlidhani dunia yote yao...
  6. A

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Ni kweli, kuna viongozi kuku na bata but it's obvious that Mka ndara ni bata
  7. A

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Kuku anakwenda huku vifaranga vyake vikiwa ubavuni. Kuku huonekana kuwa na mawasiliano na vifaranga vyake. Mwewe akionekana, kuku atavihami vifaranga vyake. Lakini bata anatangulia mbele na kuacha vifaranga vyake vikimfuata nyuma, vifaranga havijui mama anakwenda wapi. Na mwewe akitokea...
  8. A

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Nasikitika sana ninapoona wachangiaji ninaowaamini kama Mama anaposema tuwaache kwa kuwa walienda kupokea t-shirt na kofia kwa Mafisadi. Hivi kama mzazi unawatoto 4 na 1 ni mlevi hivi ni sahihi kwa wale wengine wakija kuomba fedha za karo uwatimue eti wataenda kulewa? Kwa hali ilivyo sasa hivi...
  9. A

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Ndio maana nilisema kwenye msafara wa mamba na kenge pia wapo sasa mama akawa mkali. Kila mwenye kutoa hoja ya kuwakandamiza wanafunzi atasema walifanya vurugu na kuvunja majengo. Ikumbukwe ule haukua mgomo bali ni kikundi cha "wanafunzi" wachache (hawazidi 50) waliokutana usiku wa manane...
  10. A

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Kwenye msafara wa Mamba sio kenge tu waliopo hata na mijusi pia hujiunga. Tusiwalauma WaUDSM wote kwa sababu ya wachache waliosapoti ufisadi na wanaoenda kupewa 5000 na Makamba ili wamwimbie Diamond
  11. A

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Kwenye msafara wa mamba sio kenge tu waliopo hata Mijusi pia hujiunga
  12. A

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Mahakamani ndipo Mtikila aliposhinda kesi ya kikatiba ya kuwa na mgombea binafsi, na utekelezaji wake wote tumeuona.
  13. A

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Too Bad hatuwezi kuonana kwa sasa Nipo Off-campus but unaweza kunipata kupitia big_ezzo@yahoo.co.uk nipo online
  14. A

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Labda amewahi kuwa dean lakini si UDSM. Idara aliyoiongoza ni REDET ambayo kila mtu anafahamu ipo kwa ajili ya nani. Na kwa taarifa sehemu kubwa ya wanafunzi hawamtaki huyu mtu kwa sababu analeta UCCM hapa chuoni.
  15. A

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Mtu mwenyewe anakaa madarakani Mwaka 1 tu. Kesi ikihairishwa mara 2 mwaka umeisha
  16. A

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Jamani eeh this is too much. Wanafunzi wameenda diamond lakini walioenda hawazidi 1000 na chuo kizima kina watu zaidi ya 10000. Na kwa taarifa na nina uhakikia kila mtu anafahamu kuwa Mukandara amewekwa pale na JK kwa manufaa ya chama kwa sababu wameshaona kuwa UDSM hawapati sapoti...
  17. A

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Jamani tuwe werevu kidogo hivi kama hapa JF inakuja hoja ya ufisadi na baadhi ya wanaJF wanaifagilia na kuwatetea mafisadi itakuwa sahihi kusema wanaJF wote hawana maana? UDSM kuna wanafunzi zaidi ya 10,000 sasa Makamba akija kuondoka na wake 1000 wanaotaka kupewa fulana na elfu tano-tano je...
  18. A

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Jamani hadi inafikia hatua ya kuomba msaada sio kwamba hatujajaribu njia nyingine. Labda tu ni kwamba aliyeomba msaada ameuwasilisha vibaya kwa kuomba msaada wa kugoma. Ila kama mahakamani hata katika uchaguzi wa mwaka jana tulijaribu kwenda mahakamani ila tarehe za kesi zilivyopangwa tukajua...
  19. A

    Siasa Zakielemea Chuo Kikuu Mlimani

    Hatimaye Wanafunzi Wa Udsm Sehemu Ya Mlimani Wameanza Mgomo Kushinikiza Wenzao Waliosimamishwa Masomo Warudishwe
  20. A

    Siasa Zakielemea Chuo Kikuu Mlimani

    Nadhani nimejitahidi kuunganisha matukio kwa uzuri. Jamaa wamesimamishwa masomo kwa kile kinachodhaniwa ni 1. Kusema CCM wanafadhili kampeni za mgombea ambaye wanamtaka wao 2. Mgombea huyo kusema atafuatilia matumizi ya pesa za mradi wa MLIMANI CITY.
Back
Top Bottom