Wapambe walikuwa wanaangalia ulaji tu. Muswada ungepelekwa bungeni nani angepinga chini ya bunge la chama kimoja? Inahitaji akili ya kawaida tu kujua kwamba hata magufuli tayari alikuwa ameridhia kuendelea kukalia kiti kwa kisingizio cha kukamilisha miradi.
Na wabunge walianza kulishupalia hilo jambo wakijua kwamba, , endapo magufuli akiwa wa millele basi bunge nalo litakuwa la milele. Kampeni ilianzia mbali zaidi kwa kujenga bunge la chama kimoja. MWEZI WA MUNGU AMEN
Nakumbuka ile mada yako ukijaribu kueleza namna mzee alivyo ondoka. Na ulisema kifua sijui kilibana akashindwa kupumua vizuri akaanguka n.k unaikumbuka? Wengine bado tunaikumbuka
Pale hawapelekwi kupatiwa matibabu wapone. Pale unapelekwa kwenye your last days and they see no option. Na kwa mujibu wa mabeyo anasema pale si kila mtu anaweza kuingia maana yake kwa watanzania wanavyopenda ushilawadu na upaparazi ukifia muhimbili taarifa zitawafikia ndugu zako kupitia manesi...
Order zinafuata channels. Na kwa walio kuwepo mtu wa kwanza kupokea amri ni huyo venance. Ila kwakuwa magu alikuwa kitandani na hajiwezi hakuwa na namna hata kama angegomewa na DAS kuna wakati ukifika cheo mamlaka utajiri heshima nguvu vyote vinakuwa havina msaada kwako. Hata mwanao akitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.