Search results

  1. M

    Rais Kikwete atakiwa Kujiuzulu

    sasa nani awe rais tz? achen hizo huyo jamaa ana kibarua kigumu sana kufunika na kukalia mabaya yaliyofanywa na mkapa!!!!! na ndo kazi pkee anayoifanya tu! vinginevyo basi mkubali mkapa apelekwe kizimbani ili maovu yake yote jamaa ayatue na ndipo twaweza kusema anaweza au la maana hadi hivi...
  2. M

    Mkapa ni mtu wa Msumbiji??

    Mimi ninachojua ni kwamba mkapa alikua rais wa tz basi labda sifa yake nyingine ni kwamba alikua mtemi katika uongozi wake! afu pia ni fisadi ktk viongozi tulokua nao mafisadi yeye na mke wake wameifanya chi hii kuwa mbaya siku zote na kwa kosa lake hilo limefanya rais huyu wa sasa kua kama...
  3. M

    Meremeta Report: Released to the Public (Revised & Free!)

    Du,report nimeikubali vilivyo na mzeemwanakijiji,Mungu akubaliki sana maana kwa maneno yako ya liyo ndani ya report yamefanya nitokwe na machozi kwa mkumbuka mwl.J.K Nyerere.
  4. M

    MSIBA:Peter Gachuma,Thomson Msigwa WAFARIKI DUNIA

    Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Mungu ndie ajuae maisha yangu na yako yatakoma lini... Mimi nipo msibani hapa home kwao Peter Gachuma(Tarime bukenye) mambo yote yanaendelea vema mipango ya mazishi inaendelea vizuri na kwa mujibu wa ratiba mwili wa mshikaji wetu utawekwa ardhini kesho. Peter...
  5. M

    Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

    Jamani naomba kujua hivi Nchi yetu ni ya ngapi kiuchumi mzuri ktk bara la Afrika? Mwaka juzi nilisikia ilikua ya 3 au 2 kutoka chini?au nimechanganya rooms
  6. M

    Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

    YournameisMINE waambie hawa jamaa si wakati wa kupaniana NCHI IPO VITANI so its better 4 thi guys to reconcile sio time ya kutupia majimamboz / vineno.OKAY GUYS!!!!???
  7. M

    Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

    Hii kali TZ vitaniii!!,wengine siye tulizaliwa baada ya vita ya UG,acheni na sisi tushuhudie - Uchumi Kushuka;Vilio vya kila siku;Maiti nyingi za kijeshi vijijini;Risasi na Mizinga makaburini;familia zisizo na mzazi mmoja;Njaa;Manung'uniko kutoka kwa wananchi - Ila pia kushuhudia kukamatwa kwa...
  8. M

    Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

    AEIOU, huu sio uhuni ni ubatilifu wa fedha za umma in other words ni kama sakata la RICHMOND how do we call kile kilichotokea...... not Hujuma ni UFISADI kwasababu jamaa is a PUBLIC FIGURE
  9. M

    Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

    Hello, Ninaamin if every one of us genuinely turns to truths,transparency and walking the talk - Tanzania will be a best place to live and celebrating unbleavable successess,so Mboye has to answer the shutuma before the crowd au mnaonaje?
Back
Top Bottom