Search results

  1. F

    msaada kwa anaye ijua shule ya LUGOBA high school

    am among ur teacher at lugoba
  2. F

    msaada kwa anaye ijua shule ya LUGOBA high school

    karib lugoba,hongera pako vzr
  3. F

    Naomba kujuzwa

    asante ndugu
  4. F

    Naomba kujuzwa

    mbona wanitisha kuna nn huko mara...niambie basi ili nijipange
  5. F

    Naomba kujuzwa

    ni kweli masomo yote yako o level lakin masomo ka general studies,economics, ni ya A-level,mim nimesoma history na political science as teaching subjects hence obviously ps huwa inakua either civics kwa o -level or Gs kwa A-level hicho ndo nimemaanisha
  6. F

    Naomba kujuzwa

    habari wana jamvi,mimi ni miongoni mwa walimu wapya ngazi ya shahada kutoka UDSM nimepangwa mkoa wa MARA wilaya ya BUNDA ,naomba kujua je shule za high level zipo hapo maana nimepangwa masomo ya advance na ninapenda sana kufundisha advance,naombeni msaada lau nizijue kwa majina.asanteni
  7. F

    Naomba kuuliza wana jamvi

    i like it kweli atakua mburula...
  8. F

    Naomba kuuliza wana jamvi

    kufuatia kauli alotoa naibu waziri wa elimu kua ajira mpya za walimu ni january sawa,sasa nauliza je ni vigezo gani wizara inaangalia kuajiri walimu hao hao katika vyuo vya ualimu vya diploma?Tumezoea kua wanaosoma BED ndio wakufunzi wa vyuo na wanaosoma BAED wao hupelekwa secondary sasa je...
  9. F

    Naomba kuuliza wadau wa elimu..

    Hivi ajira mpya za sisi walimu wa digrii tulomaliza mwaka huu mwezi june ni lini ama hizo post za vituo..na walomaliza diploma pia ni lini ajira zao..nawasilisha wakuu..
  10. F

    Natafuta kazi ya kujitolea au ya kulipwa ya kufundisha kwa jiji la tanga.

    jaman kwanin yeye asinifate halafu geo siipendelei sina ingawa advance ndo comb yang me ni history,civics au general studies
  11. F

    Natafuta kazi ya kujitolea au ya kulipwa ya kufundisha kwa jiji la tanga.

    Mbona naskia huyo mzee tarimo ni msumbufu sana?maana me nakaa huku kange karibu na university yake ntachek kama vp
  12. F

    Natafuta kazi ya kujitolea au ya kulipwa ya kufundisha kwa jiji la tanga.

    Nina imani nyote mu wazima,mie ni kijana wa kike mwenye shahada ya elimu kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam tawi la Mliman(Mwl Nyerere campus) nimemaliza Mwaka huu.Masomo nilospecialize ni History and Political science as teaching subjects.Nina uwezo wa kufundisha o level na A level.Nimewaomba...
  13. F

    Naombeeni ushauri wa kikazi.

    asante mkuu
  14. F

    Master ipi nzuri?

    ni bora ya BBA ipo sokon kwa law hapana atakesha sana..me mwenyew nawaza hata sijui nifanye masters gani kulingana na market kwa sasa..Atulie aseme na moyo waake afanye maamuz sahihi,
  15. F

    Naombeeni ushauri wa kikazi.

    Naimani nyote mu bukheri wa afya,bila kupoteza muda mi naomba mnishauri nina diploma ya International relations and diplomacy kutoka pale chuo cha diplomasia kurasini.Then nimemaliza mwaka huu BAED pale chuo kikuu Dar es salaam(UDSM).sasa sielewi hatma yangu kiukweli sipendi kazi ya ualim hasa...
  16. F

    mgeni

    Habari zenu wanajamvi naombeni mnikaribishe..
Back
Top Bottom