Search results

  1. Z

    Msuli wa udsm ,sua,na mucco usipime

    kudadek sua ni kiboko
  2. Z

    BVM BVM BVM Ni Nouma

    sijakata tamaa kiivyo..ingawa mambo ni nouma
  3. Z

    BVM BVM BVM Ni Nouma

    duuh kaka kheri Yako wewe unasoma System Ya binadamu mimi Hapa mara Ng'ombe,mbuzi,mbwa,nguruwe,na baadh Ya ndege duuh kichwa kinahisi kupasuka
  4. Z

    BVM BVM BVM Ni Nouma

    yaani badala Ya kutoa ushauri unacheka yaan sijui watanzania mtaendelea lini?
  5. Z

    BVM BVM BVM Ni Nouma

    Kwa Kweli Hii kozi..si Ya kushauri Mtu kuja Kusoma...nilivYokuwa advance nilikuwa nikisikia eti Chuo Utasoma kwa raha Sana kuliko advance but Naona Mambo Yamekuwa vice-versa Mziki wa Chuo ni Nouma Hasahasa BVM leo Lecture Ya Nne Notice Ni Over Biological Science< BS > duuh kuna Hii Part Ya...
  6. Z

    Kwa "1st years" wa universities zote tz: Tunaomba mrejesho kutoka katika vyuo vyenu!

    BVM lecture tatu tu notice over Biological science kwa kweli things are Hard..HIi anatomy ndo inaniua kabisa duu kaz kwelikwel
  7. Z

    Sokoine university of Agriculture

    oya bro njoo room no.4 tufahamiane aise
  8. Z

    Wale ambao hamjaripoti sua

    Oya embu pita hapa room no 4..ita tu ze duduz and then utanideku
  9. Z

    Wale ambao hamjaripoti sua

    we dogo kwa iyo tuko room 1...
  10. Z

    Wale ambao hamjaripoti sua

    niko room 4 block a ka vp njoo tuonane
  11. Z

    Kwa wale wanaojiunga 1st year wazingatie haya

    ushari mzuri binafsi nimeupenda...
  12. Z

    KARIBU SUA 1st year

    akhsaaante kaka....
  13. Z

    Wanafunzi na simu

    ina depend na mwanafunzi mbona mimi nilikuwa na kesha na fb na nimetusua fresh advance level
  14. Z

    Watu wa sua mbona tuko kimya sana?????

    thaankx kwa maelezo yako..
  15. Z

    Watu wa sua mbona tuko kimya sana?????

    zote hzo utazipa pale chuo..afu ndo utapewa namba yako ya chuo
  16. Z

    Watu wa sua mbona tuko kimya sana?????

    Ndo ivyo Mkuu..kuna special account Yake..vipi? Kwani ushachukua Admission Letter?
  17. Z

    Watu wa sua mbona tuko kimya sana?????

    ndo ivyo mkuu..maombi kwa sana tu..afu kuhusiana na Malipo Ya hostel kuna special account Yake tofouti na ile Ya chuo..so unapoenda kulipa ile pesa ya chuo angalia usije uka include na pesa Ya hostel..
  18. Z

    Watu wa sua mbona tuko kimya sana?????

    Eeh..!! Bhana eeh kwa wale ndugu zangu wa BVM mambo si lelemama...kuna jamaa fulani hv nw anaingia mwaka4..amenambia walianza 89 na xaxa wako 45..sasa jiulizen hao wengne? Wamekwenda wapi...so ndugu zangu tukapige shule..
Back
Top Bottom