Search results

  1. M

    Msaada: Jinsi ya ku reset my application NACTE

    Habari za muda huu ndugu zangu. Naomba kujua ni jinsi gani naweza kureset my application kwenye akaunti yangu ya NACTE na je kuna malipo yoyote yanatakiwa kufanyika? Vile vile ningependa kujua mwisho wa kureapply kwa sisi tuliokosa vyuo kupitia NACTE ni lini? Akaunti yangu hadi sasa imeandika...
  2. M

    St. John's University of Tanzania TCU selection

    St John's vision statement is; "To be a centre of excellence for developing humankind holistically to learn to serve" Our aim is to provide a high quality holistic delivery of university knowledge with a view to producing a well educated human being theoretically, practically and spiritually in...
  3. M

    Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Habari ndugu zangu, TCU wmethibitisha wale wote walioomba second selection. ukitaka kujua kama umekubaliwa kwenye chuo ulichoomba au laa. Fungua akaunti yako ya TCU then ANGALIA KWENYE MY PROFILE HALAFU ANGALIA HAPO JUU KWENYE SELECTION STATUS UTAONA WAMEANDIKA APPROVED badala ya In progress...
  4. M

    Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

    Habari zenu ndugu zangu, leo nimeingia kwenye akaunti yangu nimekuta tangazo la Not yet done any application halafu kwa juu kidogo nimepewa bonge la tangazo SECOND ROUND halafu vyuo vyote ni kama vinavyoonekana hapo chini....ila nilipotaka kuapply nikaambiwa APPLICATION FOR SECOND ROUND WILL BE...
  5. M

    TCU-CAS msaada tafadhali

    asante kwa ushauri mkuu ushauri wako mzuri sana.
  6. M

    TCU-CAS msaada tafadhali

    nimejaribu kufanya hivyo muda huu zimegoma tena bado zinaonekana zilezile nne. tatizo linaweza kuwa ni nini? naombeni msaada jamani ndugu zangu
  7. M

    TCU-CAS msaada tafadhali

    Habari za muda huu ndugu zangu. Mimi nilimjazia mdogo wangu vyuo kupitia CAS TCU tangu tarehe 27/7/2014 nilimjazia course nne nikaacha moja ili nikipata chuo kingine nije nijaze tena lakini kilichotokea ni kwamba leo nimeingia kwenye akaunti sijakuta hata cozi moja. nikajaza upya ila...
  8. M

    Abel Magembe-mgombea ubunge jimbo la Sumbawanga Mjini-CHADEMA

    sorry this message removed due to some errors that occured during posting this thread. Thanks
  9. M

    Tcu-mliofanya second application selection zenu hizi hapa

    Habari, kama wewe ulifanya second application kwa wale ambao walikosea application zao. Ukitaka kujua course uliyochaguliwa na chuo ingia kwenye profile yako, bofya kwenye view my selection status, chuo na course utakayoikuta ndiyo hiyo uliyochaguliwa. MUHIMU: kama ukikuta chuo na course yako...
  10. M

    Lecturer udsm auza desa 10,000 kwa lazima,,,

    bora yao wananunua Tsh.10,000/= huku kwetu 20,000/= na ni lazima uingie nalo kwenye test kama huna wewe ujijue ni direct carry course. Hii ndio nchi yetu ya kifisadi mpaka yehova atakaporudi
  11. M

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 naishi Tabata Jijini Dar es salaam, nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani wazazi wangu walifariki wakati mimi nikiwa mtoto mdogo sana. Sasa huyu mpenzi wangu amenigharamia sana...
  12. M

    Second selection st.john university hiyooooo!

    Fungua link hiyo hapo chini kuona list.asanteni
  13. M

    Wale wa loan verification majina yametoka angalieni hapa-heslb

    wale wa incomplete forms kama ulishafuata utaratibu na kupeleka zile documents muhimu na ni mwaka wa kwanza uliyemaliza kuanzia 2010 kurudi nyuma mkopo kwa BATCH 1 unao ondoa shaka.
  14. M

    Wale wa loan verification majina yametoka angalieni hapa-heslb

    Habari zenu ndugu zangu wana JF. Nilikaa kimya sana mdodosaji ila naamini ya kwamba kimya kingi kina mshindo mkuu. Jana nilikuwa ndani ya ofisi ya HESLB kuendelea kudodosa kulikoni sisi wa loan verification na wengine majina yetu yaliyopelekwa kusiko stahiki. Majibu niliyopewa ni kwamba toka...
  15. M

    Kwa wale mliokosa mkopo na previous lonees soma hapa kutoka kwa mdodosaji...

    kama una neno priority mkopo unao tusubiri tarehe 25/09/2012 hivi karibuni nitadodosa zaidi kuhusu hili swali lako
  16. M

    Kwa wale mliokosa mkopo na previous lonees soma hapa kutoka kwa mdodosaji...

    kwa wale mlioniomba niwabip pamoja na wengine ambao wangetaka mawasiliano nami please haitowezekana kutokana hali ya kiusalama zaidi ila maswali yenu yote nitajibu msihofu kuhusu hili swali namba moja 1. nlpata info kuwa et wale wa previous loanees system haiko applicable vp khs hil? SIO KWELI...
  17. M

    Wale wote mliopo kwenye previous lonees na mliokosa kabisa mkopo, mdodosaji bado nipo

    kaka suala hilo naomba uwe mpole kwa sababu bodi wanaanza kwanza na hawa waliomaliza kuanzia mwaka 2010 baada ya hapo walimu na wanaosoma sayansi alafu ndio wewe watakufikiria kama mkopo utabaki, mwombe mungu wako atakusaidia
  18. M

    Kwa wale mliokosa mkopo na previous lonees soma hapa kutoka kwa mdodosaji...

    Poleni kwa kusubiria ripoti ya jana kutoka kwa mdodosaji, naombeni jukwaa nami niwasilishe hoja... Kwa wale mliokosa mkopo ishu ni kwamba kwa majibu mepesi niliyopewa pale reception ni hivii mmekosa mikopo kwakuwa hamna vigezo na kama umekosa mkopo wakati upo kwenye priority group basi ujue...
  19. M

    Wale wote mliopo kwenye previous lonees na mliokosa kabisa mkopo, mdodosaji bado nipo

    Wana JF naombeni nafasi kidogo japo najua jukwaa lipo bize kupita kiasi Ndugu zangu najua kuna watu hadi sasa wanachekelea na wengine wamekwisha kata tamaa na kuanza kutafuta kazi za kufanya na kutupilia mbali suala la chuo, Ndugu zangu msikate tamaa mwanadodoso leo naingia ndani ya HESLB kujua...
  20. M

    Kauli kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu soma hapa

    Wana JF naombeni nafasi nami nipande jukwaani, Kutokana na chanzo changu cha habari kilichopo jijini dar es salaam kilichokuwa kikidodosa dodosa kuhusu kucheleweshwa kutolewa majina ya walioomba mkopo kupitia HESLB chanzo kinaeleza kwamba mpaka ijumaa mambo yalikuwa yapo tayari kabisa na ruhusa...
Back
Top Bottom