Kwanza nikupe pole sana,siyo sawa kabisa housegirl kufua Boxes zako huyo mkeo ni mpuuzi sana na hana adabu kabisa.
Mimi naomba niwashauri hawa mabinti wa siku hizi ni vyema mkawa mnaomba ushauri kabla hamjaamua kuingia kwenye maisha ya ndoa maana mnafanya mambo ya ajabu tena ya kuwadhalilisha...
Unachokifanya ni sahihihi kabisa hawa vijana hawana adabu wanatuharibia sana wadada wa nyumbani, mwache aende tuu huko jela hata kama ata......huko na wengine watajifunza.Hawa wanaosema watamfukuza wapotezee tuu kwaninin wasimfukuze siku zote,:angry::angry::angry:
Yaani hiyo habarin ya kusema ni zamu ya mzanzibzri umeitoa kwenye katiba ipi ? watu lakini 5 unawashindanisha na watu million 45 ?
Any way tuombe Mungu tupate Raisi kwa amani
umefanya uamuuzi wa busara sana, big up ! sasa wewe huyu binti mridhishe tuu funga arusi kanisani na sherehe kidogo on condition isizidi watu 150 wa pande zote mbili.
:shock::shock:
Unashangaa nini sasa BekaNurdin? Ndiyo hivyo, kuna barabara moja nayo iko wilaya ya Kinondoni pia yaani ni majangaa tu, kila mwaka barabara ya mpigi magoye
Muoe mdogo wa mke wako, watoto pamoja nawewe mtaishi kwa amani, hata marehemu mkeo huko aliko atafurahia hilo jambo. Mm nina uzoefu kuna mzee mmoja alifiwa na mkewe na wazee walimshauri amuoe mdogo wa mkewe lakini alikataa na kuoa mchepuko wake. Kwa sasa anajuta sana na hakuna rangi...
Katika Wapuuzi wewe ni namba moja,mshenzi kabisa ,wewe ulimdaganya hujaoa mpaka mchumba akarudisha kishika uchumba.hukukoma ,baada ya kupata mimba ukamwambia atoe sasa unaulizia mtoto !!!!!!!!!! yupi ? mpumbavu sana wewe mwanaume.ulifikiria unakojoa chooni Fyuuuuuuuu. nina hasira na wanaume kama...
Unavyosema inatokea mara 1 baada ya miaka 826 ni UWONGO ,ebu tafuta kalenda ya mwaka 2009 na uangalie mwezi february alafu urudi haraka usaihishe tread yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.