Sababu kubwa watalii wanakuja Serengeti kutaka kuona 'natural wilderness' - zile nyasi, wanyama, and the endless plain. Mara nyingi watalii wanapenda kutembelea mbuga pasipokuwepo watalii wengine pembezoni (the feeling of being alone in the wilderness is priceless). Sasa msururu wa malori...
It is sad to see that the campaign or any debate regarding this matter is initiated by people outside Tanzania.
Stop the Serengeti Highway | Save The Serengeti
na bado tunasaini mikopo ya World Bank. 40 Mil. USD for establishing mortgage financing system
http://web.worldbank.org/WBSITE/EXTERNAL/PROJECTS/0,,contentMDK:22496066~menuPK:64282138~pagePK:41367~piPK:279616~theSitePK:40941,00.html
Prestige inatokana na kuwa na nafasi chache wakati maombi yanakuwa lukuki. Hii ndio inaifanya Rhodes Scholarship kuwa prestigious, even though the selection critieria of Fulbright scholars is at par to that of Rhodes. There are more scholarships awarded each year by the former (around 7000 each...
Hii kitu (Rhodes Scholarship) ni very plestijias. Huwa wanapewa (stipend) bumu la GB-Pound 950 kila mwezi, na ada zote za chuo cha Oxford zinalipiwa. What a comfortable way to earn a degree.
1. "History of the Bukoba District" by Hans Cory, 1959, Lake Printing Works, Mwanza.
nimekuwa mpenzi wa kufahamu historia ya Tanzania, kwani ninadhani walimu wangu wa Historia shuleni hawakufanya kazi nzuri. Either curriculum ilikuwa mbovu au interest yangu kwenye somo ilikuwa ndogo. The latter...
Dr. Tibaijuka amekuwa mkuu wa UN-HABITAT tokea 2002. Office term huwa ni miaka minne, na alikuwa re-elected baada ya awamu yake ya kwanza. Kwahiyo mwaka huu 2010 term yake inaisha.
Dr. Tibaijuka anahitajika nyumbani katika nyadhifa yeyote ile. Ninauhakika ataleta mabadiliko fulani.
Kuna mtu anaweza kutupatia background na stage iliyofikiwa mpaka kuzimwa kwa hicho kijiji kilichotaka kuanzishwa na marehemu Prof. Shayo? What were the setbacks? Tunaweza kufufua huo mpango.
Nchi yetu watu kwa kupenda ujiko. Sasa kuweka title katika jina la institution ndio nini? Dr ya nini katika jina la shule? Itabidi basi hata shule nyingine zitangulizwe na titles, mf: Mr. Shaaban Robert Sec School, Mrs. Barbro Joha Sec School etc.
Tanzania ukimu'address Profesa bila...
1. Hivi nikirudi TZ na PhD yangu ni lazima niende TCU? Mimi nilidhani TCU inahusika na registration and accreditation of local Universities. PhD yangu inawahusu nini?
2. Back to Makongoro. Huyu mbunge amesoma CPA muda mrefu kuliko hiyo PhD, ukiangalia cv yake amepata CPA katika miaka 5, wakati...
Ingependeza basi labda nawe ungetutajia fundi bomba, kondakta, mchuja nafaka, mpasua matofali wa kwanza alikuwa ni nani na alitokea wapi ili namimi niweze kuongeza 'neuronal connections' kwenye pande ya ubongo ninaporekodi historia ya Tanzania. I'm a very curious person, I hope you are too.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.