Search results

  1. moto nkali

    Msaada: Gharama za Plaster

    Unapiga plasta bei gani kwa square mita?
  2. moto nkali

    Kilimo na Masoko ya Ukwaju

    Waungwana, Natumaini Mungu anazidi kutupigania kila siku, na maisha yanasonga. Niende kwenye mada👇 Ninaomba mwenye kufahamu anisaidie maarifa nitoe tongotongo, maana tunatofautiana uzoefu na access to information. Biashara ya ukwaju ipoje? Masoko yake yakoje hapa kwetu? Na je, taratibu za...
  3. moto nkali

    Kilimo na Masoko ya Ukwaju

    Waungwana... Natumaini Mungu anazidi kutupigania kila siku, na maisha yanasonga.. Niende kwenye mada.. 👇 Ninaomba mwenye kufahamu anisaidie maarifa nitoe tongotongo... maana tunatofautiana uzoefu na access to information. Biashara ya ukwaju ipoje? Masoko yake yakoje hapa kwetu? Na je taratibu...
  4. moto nkali

    Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Honda Fit kwa biashara ya usafirishaji wa Uber

    Ni gari safi kbsa, kuna 1.3L na 1.5L. Mimi ninayo ya 1.5L, economical fuel consumption na inavumilia shida. Spares zipo hela yako tuu.
  5. moto nkali

    Kuomba msamaha unapokosea kwenye mapenzi

    Dingi dingi... Unaua band...
  6. moto nkali

    Kuomba msamaha unapokosea kwenye mapenzi

    Sikubaliani na demokrasia kwenye ndoa.. Mwanamke atakuchukulia kama dhaifu
  7. moto nkali

    Katika swala la uzazi, Je hii ni njia sahihi ya kuzuia mimba?

    Umedanganywa mkuu.,. Hakuna kitu kinaitwa kutoa mbegu nje Sent using Jamii Forums mobile app
  8. moto nkali

    ESTIM Construction ni kampuni ya nchi gani?

    Mkuu hauko sahihi kusema ujenzi wa barabara ni less complicated, otherwise wewe ni layman! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. moto nkali

    Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

    Shida ni nini mpaka zishuke kiasi hicho?
  10. moto nkali

    QUALIFICATION AND EXPERIENCE

    Usipoteze muda mkuu.. Hutopata
  11. moto nkali

    Kwa wanaohitaji na wanaouza bidhaa used

    Wamekujumlishia na VAT (Joking)
  12. moto nkali

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Mkuu hili umeshindwa kudiscuss na wenzio hadi umeleta hapa?? Slope stability ni moja ya topic rahisi kwenye foundation engineering
  13. moto nkali

    Msaada wa haraka tafadhali

    Inawezekana tatizo ni power adapter yako ama betri ama charging system. Fanya kauchunguzi kidogo kubaini tatizo liko wapi kwa kubadilisha either battery ama adapter kwa mtu mwenye pc kama yako
  14. moto nkali

    Mafunzo ya kuandaa Tender za Serikali

    Ukiona unaitwa kwenye fursa ujue ww ndio fursa kwao!
Back
Top Bottom