Search results

  1. Rolandi

    Mhudumu wa Afya aliyeonekana kwenye video akisafisha vyombo vya hospitali kwa njia isiyofaa asimamishwa kazi

    Sijaona kosa Lake labda kama kuna video nyingine. Kosa ni la mwajiri kutompatia vifaa husika.
  2. Rolandi

    Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

    Mleta post tupe link ya blog/social media yako tukasome busara zako na kuona picha zako ulizopiga kwenye ibada na sehemu zenye heshima. Tunataka tuige mfano wako. Kama Huna ni sawa tu, hata mimi sina. Ila sasa ulikua unatafuta nini kwenye media za mtu wa hovyo maana yaelekea unamwelewa sana...
  3. Rolandi

    Mazoezi hayapunguzi uzito, Madaktari acheni kusema uongo

    Uko sahihi sana uliyetoa post hii. Madaktari wengi wanajua hili ila kupunguza kula hakuna "maslahi". Kaa ukijua makampuni ya vyakula hasa venye wanga na sukari worldwide hawatàki ukweli ujulikane na wanatumia njia zone kuhakikisha tunaendelea kula. Siku hizi pesa iko mbele kwenye kila kitu
  4. Rolandi

    Miti gani inaweza kupunguza maji kwenye ardhi?

    Hivi mkaratusi unaweza kupanda karibu na nyumba au mizizi yake itaharibu nyumba?
  5. Rolandi

    Miti gani inaweza kupunguza maji kwenye ardhi?

    Tafuta eneo kavu ujenge, hapo lima. Mbona unataka kuharibu matumizi ya ardhi ndugu?
  6. Rolandi

    Naombeni Mnipe Sifa Za Koo Hizi (Ukoo) Za Kichaga na Sehemu wanapotokea Moshi

    Swali lako halina maana wala tija ila nitakufahamisha kitu. Uchagani unaweza kuta watu wawili wote wanaitwa kimaro lakini hawatoki ukoo mmoja wala hawatoki eneo moja. Sio mushi wote ni ndugu.
  7. Rolandi

    SoC01 Faida atakayopata kijana baada ya kuoa

    Kikubwa uwe umepatia kwenye kuchagua mwenza wako au hizo faida ulizozitaja utazisoma kwenye vitabu tu. Watu wengi walikua wana progress vizuri walipokua mabachela, baada ya kuoa dreams zao zikakoma siku ya harusi Ukipatia kuoa mbingu unaianzia hapa hapa duniani.
  8. Rolandi

    #COVID19 Ushawishi wa chanjo ya Covid na kauli ya wahenga "kibaya chajitembeza"

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani leo ndio tunawaogopa wazungu! Kila siku tunakunywa na kula vitu vyao. Kama wanataka kutudhuru hawana haja ya kusubiri korona.
  9. Rolandi

    Inasikitisha Naibu Waziri Marekani kukutana na Vyama vya Siasa Tanzania

    Wangemkatalia watu wangelalamika hamna demokrasia.
  10. Rolandi

    #COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Hakuna aliyekulazimisha kutembea. Ji lock down mwenyewe na familia yako kama watakubali. Sisi wacha tuendelee na maisha yetu
  11. Rolandi

    Kagame hakuja msibani kumzika rais wetu, na alikaa miezi siku nyingi sana kabla hajatupa pole, Rais Samia unakwenda Rwanda kufanya nini?

    Umeandika kwa hasira ila ni kweli ulichoandika. Kwa watanzania wengi nafasi ya urais tunaichukulia poa sana. Tunafikiri Rais anatembea tembea tu kama mjumbe wa nyumba 10
  12. Rolandi

    TANZIA Mwenyekiti wa zamani wa TFF, Alhaj Said Hamad El Maamry afariki dunia akiwa ana umri wa miaka 86

    Haya tumekusikia. Ulikua unakimbilia wapi mpaka kuandika hivi? RIP
  13. Rolandi

    Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

    Tena waondoe vibanda na meza pia. Na wapangaji chini wapigwe marufuku. Wasifanye kazi nusunusu
  14. Rolandi

    Matumizi mabaya ya fedha ni adui wa mafanikio

    🤣🤣ni sawa tu lakini kwenye 10 kula 4 bakiza 6, au tafuta ratio unayoona inafaa. Usile mpaka na utakayopata kesho
  15. Rolandi

    Tanzania iruhusu watu binafsi kujenga nyumba za kuhifadhia maiti (Mortuary rooms)

    Nilishasikia hii kitu. Mpaka mwekezaji aliyekua patna na shaba akaondoka nchini akasusa na project yenyewe. Sijui kama kuna ukweli au la
  16. Rolandi

    Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

    Tatizo lipo kwetu wanunuzi. Wakitengewa eneo hatuendi kununua huko tunabaki kununua barabarani, ndio maana wanaacha maeneo waliyotengewa wanarudi barabarani. Imeshatokea machinga complex na sehemu nyingine nyingi tu Tuache kununua barabarani tuone kama watabaki.
  17. Rolandi

    Matumizi mabaya ya fedha ni adui wa mafanikio

    Post nzuri kama hizi sijui kwa nini huwa hazipati wachangiaji!
  18. Rolandi

    Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

    Good idea. Hata mtu binafsi anaweza akafanya hivyo akapata kodi ya maana tu
  19. Rolandi

    Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

    Sio vibanda tu, wawaondoe hata wanaopanga bidhaa chini. Lazima kuwe na sehemu maalum ya kuuza vitu sio kila mahali. Na sisi pia tunawaendekeza. Unaanzaje kusimama barabarani kununua na kujaribu viatu au shati? Tusingenunua wasingekaa barabarani. Tubadilike pia maana kama kuna mnunuzi muuzaji...
Back
Top Bottom