Nmesikiliza tena. Inaonekana ni Tanzania maeneo ya kusini, kuzunguka ziwa Nyasa au Malawi. Hiyo english wanapenda sana kuitumia wanyasa. Kama nimesikia na maneno kidogo ya kiswahili. Neno ''mia moja'' ''mwache kwanza'' ni kama nimeyasikia.
Nimesikia lugha mkuu. Ni kama wanaongea na kuchanganya ''pigeon english'' ya West Africa. Nisikiliza kwa haraka haraka hivyo naweza nisiwe correct. Nikipata muda nitarudia kwa utulivu.
Najua sana ni businness ndugu yangu. Lakini businness inatakiwa isi-compromise usalama wa wateja. Serikali ndiyo inafanya kosa kwa kutotoa kanuni. Inakuwaje vitu sensitive kama finger prints na data nyingine muhimu vichukuliwe na raia mitaani?
Ujinga ni adui mkubwa wa maendeleo. Nchi bado iko kwenye lindi la ujinga kwa sababu elimu yetu inafanya watu wakariri na siyo kuelimika. Unakumbuka sakata la kuvaa mask wakati wa corona? Unakumbuka mpaka rais wa nchi alikuwa anasema mask zinaweza kuwekwa virus ili watu waugue? Unajua ukiwa na...
Tanzania ni nchi ya ajabu kabisa kabisa. Hivi usajili wa simu kwa nini unafanywa na ''kila mtu'' bila kujali msajili anachukuwa data na info za wasajaliwa ambazo ni muhimu sana na tena zinatakiwa kutunzwa? Hii yote ni kwa sababu hakuna database ya taifa ambayo watu wangeitumia kufanya shughuli...
Aliwaongoza kujifukiza na kwenda kuchukuwa ''kombe'' Madagascar kwa ndege. Mpaka pale Muhimbili alijenga mtambo wa kujifukiza. Alitumia utapeli kwa sababu alijua Covod inaua watu waliokuwa kwenye risk group na baadhi ya wazee. Alijua akisema malaria au kipindupindu tumtegemee Mungu watu...
Ndugu za wengi walifariki na siyo ndugu zangu tu. Wenye ubongo wa ng'ombe kama wewe ni mpaka jambo likupate mwenyewe ndiyo unakubali lipo. Na mbaya zaidi aliidharau korona na ikawampata yeye na kumuua. Inasikitisha.
Usiwe na tamaa kwenye kubeti, hii ni rule namba moja. Usitake kushinda fedha nyingi kwa wakati mmoja. Weka fungu dogo, kwa muda maalum likiisha subiri .
Haya ulioyondika ndiyo msimamo wa watanzania wengi na wala halinishangazi sana kwa sababu ni matokeo ya elimu duni. Ni mawazo ya kimaskini ya kudhani unalogwa kumbe ni ujinga wako. Miaka ya Nyerere alisema moja ya maadui zetu wakubwa ni ujinga. Naona ndiyo unazidi kuongezeka. Halafu ulivyo...
Ni wewe unadhani hivyo kwa sababu hujui maana ya historia na umuhimu wake. Usipojua ulikotokea na ulivyokabiliana navyo njiani na huwezi kujua uendako na utakavyokabiliana navyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.