Search results

  1. J

    Makambi ya mafunzo kwa 'Green Guards' wa CCM yavunjwe - Dr Slaa

    Polisi wasifikiri wananguvu sana,naomba niwakumbushe ya Burundi wakati aw utawala aw Watusi ,hawa waliamini risasi ndio mwarobaini ya wapinzani wao,lakini mambo yalibadulika pale chama cha siasa kilipoamua kutumia nguvu kulinda democrasia na Leo chama hicho pendwa kwa warundi kiko...
  2. J

    Kutoa taarifa za siri katika Mawasiliano ya Elektroniki ni kosa la jinai

    Ni kweli ni vibaya kutoka Siri za wateja aw makampuni ya simu,kwa wateja wazuri pekee,mtanzania umeongelea kuhusu wahalifu,sijui Kama unajua tafsiri ya neno wahalifu,hawa wanaoua Watu na kutesa na kutoka kucha sio wahalifu? Kina nchemba na kundi lake ni wahalifu pia,wanapaswa kuwekwa hadharani...
  3. J

    Afya ya Lwakatare YAZOROTA

    . Usipende kumtendea mwenzako usilolipenda kutendewa wewe, unaijua kesho?Mimi na wewe wote hatuna ukweli wa jjambo hili, TUmwombe sana MUNGU hatuwajui kesho
  4. J

    CHADEMA-Vipi huku Mwanza, kulikoni.....?

    HIV wewe umezoea kujiunga vita baa vya kijana, Kofia na Mashati?unaonekana hujaelemika? Umetumwa kuhesabu Bendera Na CCM nn?harafu unasema umezunguka ntakupa pole sana na jua na uchovu ulionao, wambie wakutafutie gari au Bajaji likusaidie kupunguza.Unaonekana Umetumwa !!!!!!! Acha ujinga dogo...
  5. J

    CHADEMA-Vipi huku Mwanza, kulikoni.....?

    Aisee mpe aelewe, asidhani kwa Kuwa bendera hakuna na Chadema hakun,hebu karibu kupinga Makoroboi na bendera yako ya Ccm uonyeshwe kazi,Ndiyo utaijua Mwanza ukoje. Umetumwa na ANNA Spika nn?
  6. J

    Mzee wa Upako alimtabiria Raila ODINGA angeshinda uchaguzi

    Ndiyo kaka wa Mzee Wa MITINDO au? Sijakuelewa.
  7. J

    Hizi ni baadhi ya picha za Sherehe ya mapokezi ya Prof. Anna Tibaijuka (Muleba/Bukoba).

    Urais? May be Watanizangu wenzake ndio watampigia kura( a.k.a wahaya wenzake hasa wale walioenda shule aw wilaya yake) ila kwingine alaghabao.
  8. J

    Mzee wa Upako alimtabiria Raila ODINGA angeshinda uchaguzi

    HIV umemgundua huwa pale Madhabauni kwake harusi muhubiri mwingine?waungwana nisaidieni,ukienda kanisani au msikitini wahubiri utawakuta tofauti wakihubiri neno la Mungu wakati tofauti.Lkn kwa mzee aw MITINDO sijawahi ona,ndio kusema anamjua sn Mungu? Kitu ambocho ananishangaza zaidi ameanza...
  9. J

    Kuelekea 2015... CHADEMA irekebishe madhaifu haya ya 2010

    Jamani naombeni kufahamishwa,kwa wale mliopitia kwenye kamati za kampeni,kwa jimbo lenye vijiji 110 na kata 26-gharama kiasi gain itahitajika ili kufanikisha kampeni kwa mgombea ubunge kwa kima cha chini kabisa,na gharama hizo zimegawanyika vipi? Yaani muundo wake wa bajeti ukoje.Hiyo itasaidia...
  10. J

    The man of the moment-kkenya

    Ha ha haaaaaa.Unakwenda mbali sana kuna familia zimebalikiwa na uongozi pia ni Karama kutoka kwa Mungu. Na Wazazi nao watuombee watoto wao mzuri. That family bless by God from the begining.
  11. J

    Mzee wa Upako alimtabiria Raila ODINGA angeshinda uchaguzi

    Aise jamaa a natafuta umaarufu kwa nguvu hivi? Kwa nini hakaribishi wachungaji wenzake wapande Madhabauni kwake wahubiri?au ndo kusema yeye anamjua sana Mungu? Au akaenda mikva mwingine ya tanzania au waliookoka wapo Dar tu? Ona sasa alivyoumbuka inabidi juu ya Kenya Mimi na with Mzee aw...
  12. J

    The man of the moment-kkenya

    Hawa jamaa wamekomaa kisiasa, ingekuwa Tanzania yetu jamaa wa Magamba hawakubali kushindwa hata kama wameshindwa.Wakenya Hongereni sana kwa kupata kiongozi Mpya.Kwa upande mwingine Hongera sana 4th President, KENYATTA in KENYa
  13. J

    Mwanza: Maandamano ya M4C yafunga barabara kuu

    Mwenye namba kamanda mawazo anipatie,nataka nimpongeze na ---- issue
  14. J

    Kama CHADEMA ikifa,ni chama gani mbadala? NCCR? mbona ndio haohao wachaga jamanii!

    Hakuna uchaga wala ukabila,kwa taarifa yako Kanda ya ziwa ndo ngome ya CDM na wala sio moshi wala Arusha,angalia takwimu ya matokeo ya uchaguzi mkuu,isingekuwa kifo cha Shelembi na Ushindi wa kura moja ya masele.uchaguzi ungerudiwa kwa dhuluma ya CCM pale shy town--angalia idadi ya wabunge wana...
  15. J

    Kero za Wananchi Shinyanga Vijijini

    Mateso makubwa kwa wana shinyanga vijijini ,hakuna hata Huduma ya maji kwenye zahanati achilia mbali madawa na vifaa vingine vya tiba ikiwemo vipimo,usione hivyo tu,wilaya Hiyo haina hata hospitali ya wilaya,Huku mbunge mwarabu akijidai kuwaletea maendeleo wasukuma aw vijijini shy.tunasikia CDMA...
  16. J

    importance of body beauty in choosing a partner,body beauty should be a secondary factor or primary?

    Jamani mbona swali rahisi sana?unaanzaje kumchunguza Tabia Kama hujampenda? Sura na umbile vinakuvuta Kama demu huwezi tofautisha mbele na nyuma huwezi chunguza,sema uzuri Kati ya mtu na mtu hutofautiana,Kwangu mzuri kwake mbovu,Kwako mzuri Kwangu mbovu.
  17. J

    Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    Asante baba mtikila,unayosema ni kweli tupu Mimi Nipo hukuhuku yaani Rwana-urundi Kama zilivyoitwa kabla ya Uhuru.watusi si Watu hata kidogo na vita itarudi tu katika maeneo haya muda si mrefu coz wahatu Hadi muda huu ni Wengi zaidi ya Watusi na hawakubali tena Kuwa watumwa,Kama ingabire...
  18. J

    Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    Kip info hicho Watu Wengi walifukuzwa shule kwa kukariri darasa,hivyo ni kosa inabidi Watu hawa washitakiwe ili kuonyesha umuhimu wa sheria za nchi
  19. J

    Lazima uwe mume -----..

    Lara1,hamna wa hivyo ndio wazuri kuoa coz anatoa nae mawazo yake Kama mchango wake kwenye familia.lakini baba Kama baba unaweza kuyachukua AMA kuyakataa kulingana na unyeti aw jambo husika,mambo yakiharibika wa kuulizwa ni wewe,Kama hakuna msosi wala Ada za watoto ni wewe,nyumba mbovu ni wewe...
  20. J

    Top ten wonderful names from Tanzania

    [John kipendawatoto-Buhangija secondary-shy town
Back
Top Bottom