Search results

  1. Erick Xinzer

    Serikali vs tcu.

    mmmmh hapo hapo mi nshachoka na Heslb na kama ningekuwa na uwezo ningeiba nyaraka zao niziweke jamvini ili tujue nini kinaendelea. Nawasilisha
  2. Erick Xinzer

    Bodi ya mikopo mambo yameiva muda wowote kuanzia siku ya leo mambo yatakuwa hadharani

    hapa sasa ndo patamu!!!! akili na hela tu, sitaki story nyingi!!1 Ahsante mkuu
  3. Erick Xinzer

    Direct translation from kiswahili - english

    kumbe ki-ngereza simpo
  4. Erick Xinzer

    Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

    kwa mbali naona unafuu..........kichwani mwang pamejaa utata na story za kila siku za hawa jamaa wa TCU....bora watoe majina kwani ipo siku wataua mtu.
  5. Erick Xinzer

    Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

    DEAR APPLICANT!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE PER EACH STUDENT,YOU HAVE ADMITTED ALREADY, BE PATIENT AND SOON YOU WILL KNOW WHERE YOU HAVE SELECTED,THANK YOU!! mbona hii nayo ipo nikajaribu kufanya application tena: Na hakuna chochote kinachobadilika mkubwa
  6. Erick Xinzer

    Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

    Dear Applicants, The second round for the admission into Central Admission System is officially opened from 13th August, 2012 to 25th August,2012.Those who did not apply or could not be admitted during first round are adviced to make...
  7. Erick Xinzer

    Tcu-application second round

    dah! mimi mpaka sasa iv nimekuwa wa kitandani tu naota ndoto za "Eligible & Not Eligible" saa zingine "Your Admitted" hii ni zaid ya kifo
  8. Erick Xinzer

    Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

    usiku mzima cjalala nasubir TCU hawa jamaa wataniua
Back
Top Bottom