Search results

  1. J

    Majambazi waua maeneo ya Mwenge karibu na Oil Com

    mkuu ebu rekebisha heading hajafa kapelekwa hospitali kapigwa ya paja na tumbo nilikuwepo
  2. J

    Basi la Kampuni ya Luwinzo, T853 AUA lapata ajali Morogoro

    dar coach nao wachunguzwe hizi body wana tumaliza
  3. J

    Nani mchezaji bora wa all time Tanzania

    Wakuu, Ningependa kujua all time top player wa Tanzania maana nasikia majina tu wakina Lunyamila,Kizota,Manara nk. kwa mlio washuhudia nani alikuwa the best??
  4. J

    Rockstar Games Vs EA Games....!!!!

    Mkuu kiukweli kila mtu apo mkali kwa uwezo wake labda rockstar waanze kutengeneza game za sports kama football ndio tutajua
  5. J

    for GAMERs:GTA somalia 2014

    wakuu nimeiona trailer ya gta somalia siku nyingi you tube kama kweli rock star watashusha huo mzigo 2014 ni idea nzuri sana.hawa watu wanaweza aisee kwangu mimi ni the best kwenye mission games ebu tushirikishane kama kuna kali zaidi
  6. J

    Jinsi ya kuondoa last seen ya kwenye whatsapp msaada tafadhali

    mkuu nimejaribu naona inasaidia kusoma msg tu uki reply unaonekana ulikuwepo
  7. J

    Hii Guide inakufaa kama unataka kuficha Last Seen Status kwenye WhatsApp

    hamna kitu hapo hio itakusaidia kusoma msg tu uki reply uka turn on packet data last seen itaonekana tu
  8. J

    Jinsi ya kuondoa last seen ya kwenye whatsapp msaada tafadhali

    Habari zenu wakuu.Nilikuwa nauliza kwa yeyote mwenye maujanja ya kuisimamisha last seen ya whatsapp isi fanye kazi .nimejaribu ku google na kupata application tofauti tofauti sijafanikiwa.
  9. J

    For Gamers: Maajabu ya Far Cry 3....

    daahh mie mzito sana kucheza shooter games huwa zina nchosha
  10. J

    S3 mini for sale!

    habari wakuu nauza s3 mini 450,000 nime itumia for only two weeks contact me 0715340801
  11. J

    S3 mini for sale!

    habari wakuu nauza s3 mini nime itumia for only two weeks contact me 0715340801
  12. J

    FOR GAMers PES13 VS FIFA13

    mkuu upo sawa
  13. J

    FOR GAMers PES13 VS FIFA13

    na wewe bahati yako ungejitokeza kwa.pes13
  14. J

    FOR GAMers PES13 VS FIFA13

    nashukuruu wakuu mimi nina zote na pia huwa nacheza zote nipo katikati sijui ipi ni bora.kila moja ina uzuri wake ila kwenye pes mimi mzuri zaidi kama utahitaji kupata challenges naomba uni pm bado sijapata mpinzani kwa.hapa dar es.salaam
  15. J

    FOR GAMers PES13 VS FIFA13

    wakuu eti kati ya Pes13 na fifa13 ipi zaidi...!
  16. J

    Neeed a challenge................(game rs only)

    sio kweli ukirudi nitafute kwa fifa13 kwa mabingwa wa fifa13 sidhani kama utatoka
  17. J

    Speed 120km/hr ya pikipiki na 120km/hr ya gari?

    speed zote ni sawa.ila kinachotekea hapo nikwamba magari makubwa mengi kwa mfano yenye top speed ya 120 km/hr huwa yanatabia ya ku over speed wakati gari limefikia top speed kinachokuwa displayed apo kwenye dash board sio actual speed ya io gari inayotembea nayo haswa kwenye miteremko mikali...
Back
Top Bottom