Search results

  1. Charles Elias

    Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Jamani napenda kuuliza, mbona NACTE waliruhusu waombaji sekta ya afya tu na sayansi je wale ambao wanataka kusoma masomo ya biashara na ualimu maombi ya vyuo yanafanyikaje?
  2. Charles Elias

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Kwa walimu wa Biology. swali: why individuals who are heterozygous for a sickle cell anaemia trait resistant to malaria disease?
  3. Charles Elias

    Shule ya sekondari Runzewe yafungwa

    Hiyo siyo shule ya kata mkuu,utakuwa huijui vizuri
  4. Charles Elias

    Walimu igeni haya kutoka kwa madaktari

    Mwalimu nae amefundishwa na mwalimu wake kama yeye mwenyewe,anaeongea kiswahili hivyo hivyo ila akimfundisha kiingereza kwahiyo nae kwakuwa ni mwalimu ambae hapo kabla aliona mwalimu wake alivyokuwa anaishi nae ameamua kuishi hivyo hivyo! Tofauti na madaktari,hata kumtajia tu mwenzie panadol...
  5. Charles Elias

    Suluhisho la Kiingereza Shule za Sekondari

    Bora wasome kiswahili tu mwanzo mwisho ili tunaojua hata good morning tubaki wachache...........................hii ndoto jmn
  6. Charles Elias

    Majaliwa: Ajira mpya za Walimu ni Julai 2016

    Wewe bila shaka hukumuelewa bwana Kassim Majaliwa,yeye alikuwa anaongelea wale walimu wa sayansi wanaosoma UDOM special program kuziba pengo la upungufu wa walimu na sio ajira ya walimu wote
  7. Charles Elias

    Pesa za Laptop zatafunwa na viongozi UDOM

    Kununua wanaweza,sema wameahidiwa na zimetolewa kwa hiyo ni haki yao! Haki yako ni yako tu hata kama unaweza kuitafuta mwenyewe
  8. Charles Elias

    Pesa za Laptop zatafunwa na viongozi UDOM

    Ahadi ni deni,asingeahidi na kuzitoa hakuna ambaye angeziomba hizo! Kama zimetolewa basi wapewe sio wafaidi wasiohusika
  9. Charles Elias

    Pesa za Laptop zatafunwa na viongozi UDOM

    Mhh zimetoka kweli hizo mkuu?
  10. Charles Elias

    Suluhisho la Kiingereza Shule za Sekondari

    Kwa lugha yetu hili ni la msingi sana kwanza kuiheshimu,kuithamini na kujivunia nayo pia,ila shida ni kwamba lugha ya kiswahili itakuwa na changamoto sana kupokea misamiati ya baadhi ya masomo hasa ya sayansi kwakuwa haina misamiati ya kutosha. Hii italazimu kugeuza maneno ya kisayansi ya...
  11. Charles Elias

    Suluhisho la Kiingereza Shule za Sekondari

    Hapo wakimaliza itabidi wasome Kiswahili course angalau kwa miezi minne hivi,tena baadae kiswahili kitapotea nchini! Kwa mawazo yangu naona ni heri iwe kiswahili tu toka chekechea mpaka chuo kikuu tu ili tukithamanishe kiswahili chetu kama lugha tunayoikubali wenyewe
  12. Charles Elias

    Daah! I finaly nimeupitia mtaala wa elimu wa sekondari

    Bila shaka utakuwa umefunguka ila wewe tu ndo hujauona
  13. Charles Elias

    Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Fungueni email zenu,wengine wana Joining instructions mkononi tayari!
  14. Charles Elias

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Aje kwimba,mwanza niende Songea idara sec
  15. Charles Elias

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi,aje KWIMBA,MWANZA niende SONGEA,RUVUMA
  16. Charles Elias

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi nataka SONGEA, RUVUMA,aje KWIMBA, MWANZA
  17. Charles Elias

    Natafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi.

    Samahani wapendwa,mimi ni mwalimu nimeajiliwa ajira mpya za 2014 natafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi,yeye aje KWIMBA MWANZA mimi niende SONGEA RUVÙMA. Kama yupo naomba ajitokeze
  18. Charles Elias

    Alinificha hajazaa baada ya miaka 3 ndio ananiambia ukweli

    We unashindwa kumtambua mwanamke aliyezaa kwel,maybe huyo ndo aliyekutoa ubikira nadhan!
  19. Charles Elias

    mwanafunzi aliyemaliza udsm

    Cku ukipata nafas ya kusoma UDSM,utayaacha hayo majungu yako!
Back
Top Bottom