Nimemsikiliza VIZURI waziri wa mambo ya Ndani wakati akitolea maelezo suala la VITAMBULISHO VYA TAIFA kuchelewa. Lakini katika maelezo yake nimebaini kwamba Kuna uwezekano hata VITAMBULISHO tuligawa tenda kwa makampuni ya nje. Sasa Je, watanzania na hili tunashindwa?
Hapa kuna mkang'anyiko wa Malengo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Shule za Msingi wanafunzi wanafundishwa somo la TEHAMA. Angalau nadharia wanayotoka nayo huko Msingi ingeliendelezwa pale wanapofika Sekondari lakini ukweli ni kwamba Shule nyingi za Sekondari, hasa za SERIKALI hakuna...
Kichwa cha habari chahusika,
Napendekeza mishahara yao ipunguzwe kwa kuwaondolea mambo yafuatayo:
1. Transport allowances, hii ni zaidi ya million 8 ambayo ni posho kwaajili ya kutembelea jimbo, mafuta, nk
2. Mfuko wa jimbo
Hii ni kutokana na mlipuko ulioikumba dunia kwa sasa. Napendekeza...
Happy birthday CCM
Mkitoa vitisho vya mauaji tafsiri yake inabadilishwa na kufanywa mauaji ya kisiasa.
Lkn wengine hata wakitoa kejeri tu kwenu, TISS, POLISI, JW, wote wanawavamia kama magaidi.
Mtu akiwakosoa nyinyi pamoja na serikali yenu, mnamfungulia kesi ya Utakatishaji.
Kwa haya...
Nianze kwa kutoa wito kwa viongozi wa CHADEMA kukataa uonevu kwa vitendo. Ushauri wangu ni kwamba:
1. Mkifuatiliwa na magari ambayo yanautata, toeni taarifa Polisi wasipojibu au kuchukua hatua kwa haraka, tumieni kila njia angalau hata gari moja inayowafuatilia ichomwe moto. Hakikisha muwe na...
Ni maoni yangu tu maana huyu jamaa anajifanya kuwa master plan wa wasiojulikana. Akitaja mtu, then huyo mtu akapotea au kutekwa, watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza msiba amrudiashe
Mwingine ni Mambosasa, huyu naye akiendelea kutumika kinyuma na katiba ya nchi, na ikatokea mtu ametekwa...
Kati ya mambo ya msingi ambayo tanakifanya chama kurudi nyuma ni kutokuwa na vyombo vya habari vya chama. Siamini CHADEMA kama taasisi wanashindwa kuwa na vyombo vyao vya habari.
Wanachama tuko tayari kushiriki uchangiaji ilimradi mtuhakikishie kuanzisha Television na Redio ya chama.
2020...
DAB hajawahi kuwa na fikra pevu. Kuna ka msemo kuwa "ukizoea kunywa utumbo, u sitegemee kuongea point" mkurugenzi tunamwonea bure. Tangu lini mkurugenzi akatoa amri kwa Polisi? Wahusika wapo, yeye kakurupushwa tu.
Hapo msajili wa vyama vya siasa hawezi kutia neno. Anasubiri wafuasi wakatae uonevu ili atoe barua ya onyo kwa chadema. Viongozi wa dini nao wanashihudia kinachoendelea lkn wako kimya. Ngoja tusubiri kuona dini na madhehebu yake watatuma wawakilishi wa aina gani maana siku hizi nao wameshaunga...
Mengine yanaumiza vichwa. Ni sahihi kwa maendeleo yanayofanyika kwa awamu hii tano.
Tatizo kubwa linalotukumba watanzania ni MISSION & VISION kila kiongozi anataka afanye au aendeleze anayoyataka yeye.
Hata kama mtangulizi wa aliyepo alikuwa na Dira na Maono mazuri kwaajili ya baadae lakini...
Kwa maigizo ya serikali inayoongozwa na CCM sitashangaa kusikia kuwa kila atayeandika barua ya kujitoa atafikishiwa rumande kwa tuhuma za uchochezi. Na pengine wakashindwa kuwasilisha barua zao kwani wasimamizi wanaweza kutumia mbinu ile ile ya kuzikimbia ofisi zao kama ilivyokuwa kwenye kutoa fomu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.