Search results

  1. T

    Mlinga: Wakufunzi vyuoni wamegeuka madume ya mbegu, wanafunzi wa kike vyuoni wanapata shida mno

    Kuna wengine walimu wanawataka kabisa sio kwamba situation uliosema haipo kama ingekua ivo mada isingeongelewa. Mbaya zaidi wanaweza ku report wakiwa wanasumbuliwa but walimu wengine wenye michezo kama hiyo hawatamtongoza watamfelisha kwa kumchoma mwenzao. Atakua haja solve chochote soo naisi...
  2. T

    Urasimu HR officer wa FINCA Tanzania

    Ukiwa hakimu ukisikiliza upande wa mashtaka tu bila utetezi kila mtu angefungwa.......
  3. T

    Kama Huna Kazi na Umekata Tamaa Soma Hapa

    Mbona ma Bank flan iv yana lipa poa tuu, gross ya M 1 na ushee tena nafasi za chini tu kama CRDB na ECO Bank hiyo ni gross lakini.
  4. T

    Waliokua wanasema UDSM wote wanapata kazi ila UDOM hawapati kazi wako wapi?

    Love your job not your company, u will never know when the company stop loving u.......tulia penda kazi unayofanya usitambe hapa, huezi jua lini utaachishwa kazi...sijui utarudi hapa kuongelea mambo ya chuo, penda kazi yako kama umepata na omba sana wakubwa waendelee kukupenda...hilo tu
  5. T

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Sitaweza kutetea kauli yako mkuu sababu nchi imeharibika, inaitaji watu wa hivi inyooke, nyie wafanyakazi huko mlishajifanya miungu watu, ham ambiliki ham sikii, basi mfundishwe kazi, sababu hakuna namna.HAPA KAZI TUUUU.
  6. T

    Nini lengo la HR anapokuuliza hili swali?

    I think ni vema u study kwanza wanalipaje na ujiandae kwa hilo swali......dont be specific say around figure flan.........
  7. T

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Siasa bwana, walimponda sana, sasa iv wamempokea kawa msafi, angebaki CCM wangeendelea kumwita fisadi, naye Lowasa ameyaona mabaya ya CCM baada ya kutoswa, kama sio siasa tuu hiyo.
  8. T

    Hii hatari: Watu 3034 nafasi 4, interview ya LAPF

    Mkiitwa wa chache mnaenda PCCB Mara rushwa sijui nn, mkiitwa wengi HR hayuko serious,hii nchi bana.
  9. T

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Basi waliomaliza mwaka wa masomo 2014 wanaraha sana, sababu mwaka huo huo kuna walioenda, tulitegemea ni mwaka wa masomo 2015 sasa iv baaas tenaaa.
  10. T

    Kuna nini mikopo ya vyuo vikuu?

    Duuuh poleni, wengine tayari huku.
  11. T

    Kwanini wazazi hupeleka watoto wao vyuo vya Uganda na Kenya?

    Bora elimu ya Tanzania kuliko Uganda.nitampeleka mwanangu Kenya sio Uganda.
  12. T

    Katibu wa Mbunge Selasini na Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Rombo ajiunga na CCM

    Mfamaji Haachii......kila mtu ataongea lake hapa.
  13. T

    Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

    Sasa ukianza kazi na mshahara wa 3.5 m utastaafu na mshahara kiasi gani? Pension Yako utachukua sh. Ngap coz wanaangalia mshahara wa mwisho wakati wa kustaafu, daah! ni hatari sana.
  14. T

    Nape: Dk. Slaa ni Muongo na Mzushi aliyebobea

    Sijakuelewa kabisa yaan.
  15. T

    Nape: Dk. Slaa ni Muongo na Mzushi aliyebobea

    Kuna usemi kua politics is a dirty game ila sio kwa style hio, nani akuue, acheni uongo, ila Chadema mmezidi ku fabricate mambo.
  16. T

    Kuhusu Zitto Kabwe: CCM wamecheza game of mind kuelekea uchaguzi mkuu

    Hawajui siasa ngoja wafundishwe. Wanadhani ni kuongea tuuuuuuu.
  17. T

    Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

    Chadema ina support kubwa ya vijana ambao hawapigi kura anyway, soo watasubiri sana.
  18. T

    Hofu, Mashaka, Wivu na Upotoshaji dhidi ya Brigedia Nyekundu-Majibu

    I think that wasn't a compliment. Nyinyi bwana vijana wenu are looking terrible kama majasusi, miwani, gloves, what for? Kama vile mnaficha identity wakati wa vurugu. Kuweni open.
Back
Top Bottom