Search results

  1. IsayaMwita

    Zitto Kabwe: Mahindi ya Tanzania ni salama

    Ukiwaangalia siasa zinazoendelea nchini Kenya kuhusu bei ya Gunia (90 kg) ...wakulima wanataka walipwe sh 3,640 kwa gunia na wanalalamika kwamba kwa sasa wana mahindi mengi sana plus kwamba 2022 wana uchaguzi basi wakulima wamewakamata wana siasa Sasa upo uwezekano wa serikali yao kutumia njia...
  2. IsayaMwita

    Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!

    Kaka yangu Mayalla kuna yale maswali aliwahi kuuliza pale ikulu ...sasa yale maswali yamegeuka kuwa Mzigo kwake ... kila akiyakumbuka anawaza aje na andiko lipi la kufuta yale Maswali Mimi nafikiri kwa sasa kaka yangu Pascal Mayalla ..Tulia ... naona ili hata kujiweka sana uligombea Ubunge...
  3. IsayaMwita

    Harufu ya ufisadi stendi mpya Mbezi: Je, CHADEMA ilishindwa kuisimamia Serikali ipasavyo?

    Nawasalimu wana Jamiiforums Nimeona ni Busara kutoa ufafanuzi hapa jukwaani na kuweka kumbukumbu sawa katika jambo hili la ujenzi wa stand ya Mbezi Luis, Mradi huo ulikuwa na thamani ya sh 51 billion na mkata huo ulisainiwa mwaka Jana 2019 February, Mradi huu ungepaswa kukamilika July 15, 2020...
  4. IsayaMwita

    CHADEMA kumbukeni hata Mrema aliwahi kununuliwa nyumba Sinza na Wananchi

    Siasa zimebadilika sana na nyakati hizi nawaona wananchi ni kama wanamaanisha sana kutokana na hali halisi …. ukiangalia Maisha ya miaka ya 1990 kuelekea 2000 huwezi kulinganisha na sasa ...bado ajila zilikuwepo kwa kiasi chake … sasa acha tuone , huko tuendako napaona pakiwa na shughuli kubwa...
  5. IsayaMwita

    Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

    Huyu Sarah Martin Simbaulanga hivi alimaliza kifungo chake ? Maana ni mwanamke wa kwanza Tanzania kusikika kwenye vyombo vya habari kwa zaidi mwezi ...Mama aligoma sana
  6. IsayaMwita

    Anayejua kanuni za uongozi wa juu serikalini atawapongeza CHADEMA

    Ndugu zangu watanzania wenzangu, hamjambo
  7. IsayaMwita

    Dk Slaa: Mvumilieni Rais Magufuli. Natafakari kurudi nchini siku yoyote

    Kilikuwa ni kipindi kigumu sana. ...wakati katibu wetu Dr. Slaa anatuacha. ..hatukujua kama tungefika hapa. ..ukiangalia mzee Lipumba naye alikuwa amejiachia. ...kwa sasa siasa zimebadilika sana. ..Daktari ni lazima ajue zama zimebadilika sana...
  8. IsayaMwita

    Dkt. Mwakyembe: Sakata la Clouds kwa sasa ushahidi hautoshi kufanya maamuzi

    Mazingira ya kazi yake angeanza kuyatengeneza kuanzia Leo
  9. IsayaMwita

    CCM: Kinana hataongea na wandishi wa habari, yupo nje ya Nchi

    Uukipotea humu muda mrefu ...unakuwa mgeni wa kila kitu ...
  10. IsayaMwita

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Ndiyo, na mimi pia nawapongeza waanzilishi ...na mimi nilifika humu muda kitambo sana. ..wengine wwenu tumepata uzoefu mwingi kupitia mtandao huu, sijui yuko wapi mzee mwanakijiji ... Sitamsahau mtu mmoja alikuwa anajiita wa 16 sitamsahau
  11. IsayaMwita

    Yaliyojiri ACT-Wazalendo huko Kigoma

    Ninasikitika kwamba jimbo la kigoma mjini chadema watashinda..... Hii imetokana na utafiti uliofanywa na Gft.... Imeoneshwa kwamba jimbo hilo siasa zinaendeshwa kidini... Hapa namaanisha kwamba kura za Kaburu (ccm) ambaye ni mwislam na ndugu yangu Zitto hazitaongezeka.... Zinabeba zaidi kura...
  12. IsayaMwita

    Dr. Slaa afunika mkutano wa hamasa wa kujiandikisha BVR, Momba -Mbeya

    Mtoi hili la uwanzishaji wa kanda ndiyo kigingi cha utawala wa CCM ...kura Rais zitajulikana usiku ule ule.... Lakini leo tunaona Dr.Slaa anapata watu wengi wengi kwenye mikutano yake.... ni kwa sababu chama kimeimarika kule majimboni Hebu tujiulize kidogo...hivi 2010 hali ilikuwaje...
  13. IsayaMwita

    Mh. Lukuvi atangaza nia kuelekea safari ya uhakka

    Huyu Rukuvi anagombea Kigamboni? Au anautaka Urais?
  14. IsayaMwita

    Dr. Slaa afunika mkutano wa hamasa wa kujiandikisha BVR, Momba -Mbeya

    Kwa jinsi hali inavyokwenda hii mikoa inakwenda kufanya vizuri... Kagera..simiyu...shinyanga...Mara....Mwanza....Geita...Manyara....Ruvuma....Rukwa...Morogoro...Mbeya, Kamati kuu chadema ilifanya maamuzi mazuri kuigawa Tanzania kikanda... Ccm watarajie wasichokijua Kwa sasa kanda...
  15. IsayaMwita

    Upinzani unakufa kila kona ya Tanzania - NAPE

    CCM wanajua kwamba UKAWA wamepata more 39.78% ...sasa pale mwanzoni ccm walijaribu kupika data kwa kusema ukawa wameshinda kwa 16%... Wakaona single haiuzi....wakasema 25% wakaona haiuzi...tamisemi ghafla wakageuka wakawa mabubu Kwa maana ya kulisaidia jukwaa hili tutaweka hapa matokeo ya...
  16. IsayaMwita

    Nafasi ya Lowassa ndani ya CCM, faida na hasara za kumfukuza Chamani kwa sasa!

    Hili la Lowasa ndani ya ccm ni kitendawili... sandakalawe! Amina! Mwenye kupata! Apate...... Ccm kipindi hiki cha miezi 5 watapitia kipindi kigumu sana... wanajaribu kutaka kupenya kwa kukwepa makundi..... lakini kila kukicha mwanya unaongezeka . Na hili la serikali za mitaa na vijiji...
  17. IsayaMwita

    Prof. Lipumba akerwa na Zitto Mtwara

    Uzi huu wachangiaji wanatukana bila soni....... jamani msifike huko,
  18. IsayaMwita

    Hivi mwanafunzi akipata maksi 25% anastahili kupongezwa?

    Nani kapata 25%? na nani kapata 75%? Ukiwa hulijui jambo uliza usaidiwe ......Kuna watu wameichukulia kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar er salaam bw. Meck Sadick kama ndiyo over .......yale ni natokeo ya mkoa wake tuu ndani ya majimbo 8 tu, ndiyo ccm imepata 75% tutayaweka...
Back
Top Bottom